Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi

1641221403172.png
 
hizi habari unazo? kuwa mmeshafanyiwa assessment na mmeonekana hamna nguvu kanda ya ziwa?
View attachment 2067329
View attachment 2067330
Is Magufuli alive? Why are you still quoting what he said ages ago and ended up dying without fulfilling them? Right now Kisumu is the backbone of Lake Victoria, most Ugandan goods pass through Kisumu as compared to Mwanza.
 
waambieni hii ni dar

Hapa ndio namkubali Jpm, siamini kama angekuwa hai ingekuwa kimya hatusikii mradi mpya hata fununu tu, si ajabu ungesikia ungesikia tunaendeleza njia nane Toka Kibaha mpaka chalinze, au mradi wa treni za mjini dar utaanza nk.
Sisemi mama mbaya ila kwa ubunifu wa miradi Jpm level nyingine,
Siku hizi hata stendi za mabasi tulizokuwa tunashtuka eeh kumbe kuna ujenzi sumbawanga hatuzisikii, vituo vya afya na hospitali za wilaya kimya.
Nadhani ikiisha miradi iliyobuniwa na Magu si ajabu kukawa kimya tukabaki na sgr tu maana hii najua itachukua muda kukamilisha yote.
 
Is Magufuli alive? Why are you still quoting what he said ages ago and ended up dying without fulfilling them? Right now Kisumu is the backbone of Lake Victoria, most Ugandan goods pass through Kisumu as compared to Mwanza.
Apart from goods what else.
Mwanza, Kagera and uganda they do more business than the way you think bro
 
Back
Top Bottom