Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe nilikua nakujibu , ujenzi wa Mji wa serikali ulizinduliwa na Magu na tuliambiwa kutapamdwa miti ya matunda lakini hadi tunazika na ujenzi wa barabara uko 80% hakuna hata mti mmja unless ni sehemu ya mkataba wa mkandarasi.
Kwani magufuli katumikia uraisi kwa miaka yote 10 we akiliyako vipi au akili yako imetaga yai
 
Kuwa serious Mzee, uchumi wa Kenya uko diversified Sana , uchumi wa hivi inakuaje hauna strong root?
Mkuu wacha kusikiliza maneno ya wakenya, uchumi wa Kenya unategemea
1)Kilimo
2) Manufacturing (ambayo inakufa kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu)
3)Ujenzi(Construction industry)
4)Utalii
5)Diaspora remittances

Ukiacha hizo nilizotaja, sectors zingine zote mchango wake ni mdogo mdogo sana, hiyo diversification ni ipi?, Ukiangalia kwa undani uchumi wa Tanzania ni more diversified kuliko Kenya, kwasababu huku Kuna, mining, gas, fishing and livestock, ambazo Kenya hawana, ndio sababu Tanzania is the biggest Exporter kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kenya wanapenda Sana kutumia "terms" kubwa kubwa lakini hawana kitu cha maana, kumbuka walipojengewa SGR mbovu kwa Bei ya juu na Mchina, ili kujiliwaza na kutetea uzembe wao wakasema ni "Chinese first class"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee leo nimepita bagamoyo road from morocco to mwenge nikawa najihisi niko ulaya hivi hii barabara ni nyoko sana waipatia ile mbaya

Halafu ile ya zamani pale kati ndio wataweka BRT sio!??

Kudadake Dar inazidi kuwa tamu[emoji2][emoji1787]

Kesho naelekea mbweni utalii wa ndani and self inspiration [emoji2][emoji108]
 
Hizo raw materials mnakula au mnazipa value addition then muuze EA? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. wacha tuendelee kuwakamata
Hatukuli raw materials kama nyinyi walaji wa mihogo mbichi. Tumetambua soft life we prefer zikiwa crisps. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…