Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chicago huwezi kuilinganisha na Chengdu. Pengine ungesema Houston, Texas ningekuelewa. Chicago ni miongoni mwa miji mitatu mikubwa ya Marekani New York, Los Angeles na Chicago. Hizi miji mitatu za Marekani ni miongoni mwa miji mikubwa zaidi duniani. Chicago ni bab kubwa. Ila nakubaliana na wewe kuwa miji za China kwa ujumla zina ipiku miji za Marekani kwenye suala la majengo marefu. Kuna video nilitazama youtube inayosema kwamba Marekani ina majengo chini ya mia mbili yenye urefu wa zaidi ya 150 metres. China nayo ina majengo zaidi ya mia tatu yenye majengo yenye urefu zaidi ya 150 metres. Kwa hivyo ukichukua kwa ujumla China ina majengo marefu mengi kushinda USA. Isitoshe mji wenye majengo marefu mengi kushinda mji wowote ule duniani ni mji wa Shangai. Shangai ina majengo marefu mengi kushinda mji wowote ule , so china ni mnyama kwenye mambo haya.
 
Sasa tuambie, GDP ya TZ ilivyo sasa na ya Kenya kuna ukweli? I mean unaona GDP ya kenya ipo sahihi? na kama ndio je, ya TZ pia ipo sahihi?
 
Kwa sababu ya Mwaka mpya ninatoa block niliyomuwekea rafiki yangu The best 007. The best 007 ninakutakia mwaka mpya ulio na baraka tele. Watanzania na Wakenya walio hapa nawatakia mwaka mpya ulio na baraka na afya tele. Pia tujaribu kudebate kwa ustaarabu na kufundishana mwaka huu bila matusi au kejeli. Kwa mfano huu debate kati ya miji ya Uchina na Marekani ni debate nzuri sana. Tuendelee kudebate mambo kama haya maana yanatufundisha mambo mengi.
 
Kila la heri katika mwaka mpya
 
Sasa tuambie, GDP ya TZ ilivyo sasa na ya Kenya kuna ukweli? I mean unaona GDP ya kenya ipo sahihi? na kama ndio je, ya TZ pia ipo sahihi?
Unaichukulia Kenya poa sana wewe. Ni kweli Gdp yenu inastahili kuwa kubwa zaidi ukizingatia ujenzi unaoendelea huko ikiwemo electric SGR, JNHPP na kadhalika. Pengine nyie ndio mnashindwa kupima Gdp yenu vizuri. Mnastahili kuleta wataalam wawasaidie kupima Gdp yenu vizuri. Lakini sidhani kama Gdp yenu imeishinda ya Kenya.
Halafu Afrika kuna nchi kama DR Congo ambayo haija rebase uchumi wake kwa miaka zaidi ya ishirini so uchumi wake unaweza kuwa ni mkubwa ila hawajairebase. Afrika kuna nchi nyingi ambazo hazijarebase uchumi wao kwa miaka hata ishirini licha ya UN kusema kuwa rebasing inastahili kufanyika kila baada ya miaka mitano
 
Kizungu mingi point zero. If it's not as important as you put it, why has it been adopted by countries the world over?
 
Tuko pamoja rafiki yangu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ultra Modern Bus stop.
Ultra modern state of the art mega bus terminal the only ones in Tanzania itapendeza zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
2022 hii wakuu. Kuna vitu inabidi tukubali tupambane kuvibadili. GDP ya Kenya iko juu kuliko yetu, tupambane tuwashinde kukataa haibadilishi kitu.
Kwahiyo unapendekeza tuchapishe taarifa yenye kuonyesha kuwa GDP imeongezeka kama jirani alivyofanya ama kuwe na true organic growth?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ