Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Litanzania lya Gongo la mboto., 😂😂😂😂😂😂.,ufukura haukuwachi hadi ubadilishe fikra., angalia nchi inavyofanana kwa upana kila kona mbali na brt na vigorofa vichache😂😂😂😂😂😂., unaumia kweli, najua unapenda nchi yako, tatizo ni pale unapo jifanya eti wewe ni Rwandese just to put across a scathing point against Kenya, simama kama Mtanzania shupavu wacha kuonea nchi yako haya, eti Rwandese 😂 😂😂😂, danganya wa vijiweni wewe bongolala, lafudhi ya Rwanda ni tofauti sana ata awe mzaliwa wa Kenya ama Tanzania 😂😂😂😂😂.,
 
Bila Upendeleo wowote..I think Elevated Railway inahitajika Zaidi Kilwa Road to Mbagala na Kongowe ..and Road to Pugu..more tha Tegeta ..imo ..watu wengi wanaishi Mbagala hata hii BRT mpya haitatosha
 
Mzee mpumbavu sana huyu, anasema yeye ndio alimpa Magufuli akili ya kuongoza Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwahiyo tangu akiwa waziri alimfundisha yeye, tulisema uchaguzi wa Kenya hapo mwakani benchmark itakuwa ni Tz, yani ili mgombea ashinde kule Kenya asisahau kuitaja Tanzania, tulisema humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa watu ni wajinga sana. They are riding on other people`s success. I wonder why that man did not mention either Tanzania ama Nyerere in his books, yet they are claiming that he got inspired from Nyerere.
Ss kawaambie hawa wabadilishe mana dunia nzima ishajua[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uvundo umeanza kutoa harufu sasa.


 
Bila Upendeleo wowote..I think Elevated Railway inahitajika Zaidi Kilwa Road to Mbagala na Kongowe ..and Road to Pugu..more tha Tegeta ..imo ..watu wengi wanaishi Mbagala hata hii BRT mpya haitatosha
Kuna existing commuter railway ambayo nadhani hadi Pugu na Ubungo inafika. Hiyo wataifanyia upgrade. Then wataconnect na hii elevated railway. Lakini phase ya kwenda hadi Mbagala ipo.
 
Kenya bila kujihusisha na Tanzania wanajiona bado hawajafanya chochote 😂😂😂 ili uonekane unaongea sense Kenya zingatia neno Tanzania kwenye maneno 10 yako 😂😂😂😂
 
Nilisema mm kwamba mtapea uraia wa Tanzania kisa kaongea ukweli unaouma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtungi wa chang'aa umekamatwa na hangovers 😂😂😂
 
Wakenya wote soma hapa [emoji115][emoji115] jinsi ndugu zetu wanyarwanda tunavyoishi nao vzr mpk wangetamani wazaliwe huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama tz tumelaaniwa sijui nyie kenya mmefanyajwe
 
Labda hayo mahesabu ni ya serikali ya kikwete ,kwanza hizi reli kujengewa na wageni au makampuni binafsi ni ujinga kwa nchi ambayo imepata uhuru zaidi ya miaka 50 vitu kama madaraja ,flyovers, interchange , na mabarabara ilitakiwa tutumie jeshi kuvijenga hapo tungeweza kujenga kwa gharama ndogo na kwaubora wa juu hivyo kujenga km nyingi zaidi ,kama jeshi lingekuwa limewezeshwa kujenga madaraja kama ya tanzanite basi hadi leo hii tz ingekuwa imemaliza kabisa maswala ya madaraja
 
Mkuu Tanzani is a benchmark kwa Kenya na nchi nyingi hapa Africa katika Mambo mengi Sana, wakenya wanalijua hilo na wengi wanaipenda Sana Tanzania
Tony254
Don YF
@KEMPAULITE
 
Huyo mpumbavu sa100 tutampiga vita hadi damu ya mwisho ,swala la kukopa hakuna anaye kataa ila ni baada ya kujitaidi kikamilifu kutumia mapato ya nchi vizuri ,ila anacho fanya huyu mjambiani mpumbavu ni kugeuza mapato ya ndani kuwa mali ya WAHUNI WACHACHE ,hivyo kuitaji mikopo ndiyo kujenga miradi mikubwa na midogo kama kenya mnavyo fanyiwa na serikali ya jubilee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…