chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Yote uliosema yakizingatiwa bado dollars billion 1.4 ni nyingi sana, sidhani kama kipande hiki kitakua na tunnels na zitakua kwa urefu gani, Singida na Tabora ni mikoa ambayo haina terrains kali kama Morogoro yaani hata Mwanza yenye milima mingi na eneo kubwa pia linapita katikati ya mji halijagharim pesa nyingi kiasi hicho ukilinganisha na kilometers za railway.Sio lazima iwe ufisadi per se...inawezekana kweli kuna hela italiwa even millions of dollars ....ila sio ya kuongeza 1 trillion nzima....
Kuna Inflation pia...kumbuka mwaka 2018 sio sawa na 2021..vitu vimepanda bei...hela imeshuka thamani sio TzS tu hata USD
Covid inaweza kuwa imeleta importing cost kuongezeka kutokana na supply ya materials etc..
Je wataimprove nn kwenye hio reli..vituo vitakuaje etc...
Madaraja ni mengi au machache kuna tunnels?