Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maendeleo gn mliyonayo? Mpk leo nchi haina modern public transport, haina cable stayed bridges, haina electrified SGR wala haina reliable source of electricity, mmeendelea nn ss au block flyovers na vile vi apartments cheap vyenye bati nyekundu juu
Low IQ on display.,😂😂😂😂😂😂😂😂😂 napitia pitia uzi naona vile nyie maboya mnajiliwaza tu.., ngojeni 25 years nani😂😂.,
 
yes arthi river in machakos county kama nimekosea niambie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Same distance from Dar haupati anything such level., kwa Kenya mtangoja sana, pengine Domo domo na Kiswahili, hapa jibu to level exactly hamna😂😂😂😂😂.,
 
Two years ago meli ya MV Uhuru ilikua ishaanza kazi ya kupeleka mafuta kutoka Kenya hadi Uganda. Nimedhani hata unanionyesha video ya meli ikiwa kazi. Wacheni tabia ya kupayuka. 😂😂😂
hio inabeba treni kabisa kuelekea uganda mm sitak utumie hasira kunijibu
 
Same distance from Dar haupati anything such level., kwa Kenya mtangoja sana, pengine Domo domo na Kiswahili, hapa jibu to level exactly hamna😂😂😂😂😂.,
sasa umekasirika mm kusema ukweli 🤣🤣
 
Na utamaduni wa Nairobi kupanda Malori ya mizigo .
haswaaa alaf wameridhika kabisa 😁😁
C1A5B737-52AB-4EF5-B2D6-1D7829622E51.jpeg
2AC7FC20-F28F-4610-AB03-50B540B22B4C.jpeg
 
Mwenye macho haambiwi tazama

JPM alikua ndio mkali wa hizi kazi, kutoka Makutupora kwenda Tabora ni plain ground hakuna geographical obstacles kama za kutoka Morogoro kwenda Makutupora lakini angalia kiasi cha pesa kilichotumika kujenga na hiki cha sasa

NB Yarpi ni mkandarasi mwenye vifaa site tayari

Ufisadi???

View attachment 2060513
Sio lazima iwe ufisadi per se...inawezekana kweli kuna hela italiwa even millions of dollars ....ila sio ya kuongeza 1 trillion nzima....

Kuna Inflation pia...kumbuka mwaka 2018 sio sawa na 2021..vitu vimepanda bei...hela imeshuka thamani sio TzS tu hata USD

Covid inaweza kuwa imeleta importing cost kuongezeka kutokana na supply ya materials etc..

Je wataimprove nn kwenye hio reli..vituo vitakuaje etc...

Madaraja ni mengi au machache kuna tunnels?
 
Back
Top Bottom