kwamba dar chalinzee? mhh ilkua inahusu nn?ka autojali?Wacha Wivu......Mumesahau nyinyi pia mulikua na PPP project ya chalinze ...https://www.infrapppworld.com/project/dar-es-salaam-chalinze-highway-ppp-project
Na bado yako makampuni mengi tu ya kitanzania yakifanya vizuri kwny different projects!!!Tofauti na Kenya kwetu ukifanya hovyo utarudia kazi kwa pesa yako na usitegemee tena Serikali ya Tanzania kukupa mradi mwingine!!!Wameshaona mifano hai kwa hiyo lazima wafuate mstari bila shuruti!!!Tunaandaa document na specs zake tunataka kilichokuwa kwny document kulingana na specs zake ndo tukione site!!!No excuses!!!!wala blah blah nyingine!!!Acha uoga PPP si lazima iwe kampuni moja binafsi zinaweza kuwa kadhaa!!! Kenya mmezidi upigaji ndo maana mkijenga vitu vyenu nyie wenyewe lazima viwe vya hovyo sana tu!!! Rubbish unlike Tanzania, sisi tuna makampuni binafsi yanafanya vizuri tu sana mfano ni Estim ambao ndo wanaojenga Kimara- Kibaha Super Highway!!!usijesema mimi natunga angalia mwenyewe kwny hii link
Huu ulikuwa mradi wa PIDA ilikuwa ni Toll road mpk tender yake ilitangazwa ila wadau hawakujitokeza kwa mawazo yangu SGR iligeuka obstacle kwny hii project maana plan yake ilikuwa kutoa maroli bandarini yapite nje ya mji hakuna speed limit na foleni kama yanayopitia sasa!!!! ilikuwa bonge la project.kwamba dar chalinzee? mhh ilkua inahusu nn?ka autojali?
Nakumbuka enzi za Marehemu Magufuli..yeye alikua anaenda kwa site,akipata mume lala kwa kazi na hamfanyi kazi quality anawafuta papo hapo..anatafta contractor mwengine aendelee na kazi..Honestly huyo jamaa aliwajaribia sana...Kama binadamu watu hua na kasoro ndogo ndogo..lakini alijaribu....Nilipenda slogan yake''HAPA KAZI TUU"Na bado yako makampuni mengi tu ya kitanzania yakifanya vizuri kwny different projects!!!Tofauti na Kenya kwetu ukifanya hovyo utarudia kazi kwa pesa yako na usitegemee tena Serikali ya Tanzania kukupa mradi mwingine!!!Wameshaona mifano hai kwa hiyo lazima wafuate mstari bila shuruti!!!Tunaandaa document na specs zake tunataka kilichokuwa kwny document kulingana na specs zake ndo tukione site!!!No excuses!!!!wala blah blah nyingine!!!
That line of short buildings along Bagamoyo road. Behind them Uswazi tupu. [emoji706][emoji706]
Hahaha Kimara Kibaya ambayo imeshindwa kukamilika? Wakati Nairobi expressway imechukuwa miaka miwili tu kukamilika? Wekeni uzalendo kando mkamilishe miradi zenu kwa haraka. Hata SGR mlitaka kuwapa Wachina lakini mkaamua kuwapa Waturuki sasa mumekwama. Heri mngewapa Wachina wangekuwa wameshamaliza Ujenzi wa Sgr zamani sana.Acha uoga PPP si lazima iwe kampuni moja binafsi zinaweza kuwa kadhaa!!! Kenya mmezidi upigaji ndo maana mkijenga vitu vyenu nyie wenyewe lazima viwe vya hovyo sana tu!!! Rubbish unlike Tanzania, sisi tuna makampuni binafsi yanafanya vizuri tu sana mfano ni Estim ambao ndo wanaojenga Kimara- Kibaha Super Highway!!!usijesema mimi natunga angalia mwenyewe kwny hii link
Yeah, not just a worthy one.🚮🚮Its a skyline [emoji41] as you can See it.
Skyline? 😂 😂
Eish noma. Which road is this?
Sio kibaya ni Kibaha!!!hakuna mradi uliokwama my brother Tony!!! Miradi yote inaendelea fuatilia na percentage zake upon completion ili ulie vizuri!!!!Hahaha Kimara Kibaya ambayo imeshindwa kukamilika? Wakati Nairobi expressway imechukuwa miaka miwili tu kukamilika? Wekeni uzalendo kando mkamilishe miradi zenu kwa haraka. Hata SGR mlitaka kuwapa Wachina lakini mkaamua kuwapa Waturuki sasa mumekwama. Heri mngewapa Wachina wangekuwa wameshamaliza Ujenzi wa Sgr zamani sana.
Kwa yoyote atayembeza huyu mzee kwny suala la miundo mbinu atakuwa anakosea sana!!!ametubeba sana Watanzania kwny hili!!! WaybackNakumbuka enzi za Marehemu Magufuli..yeye alikua anaenda kwa site,akipata mume lala kwa kazi na hamfanyi kazi quality anawafuta papo hapo..anatafta contractor mwengine aendelee na kazi..Honestly huyo jamaa aliwajaribia sana...Kama binadamu watu hua na kasoro ndogo ndogo..lakini alijaribu....Nilipenda slogan yake''HAPA KAZI TUU"
Kama hata Baada ya kukueleza hivo hujaelewa basi hutawai elewathis logic doesn’t exist anywhere in the world. kwa hio huyo wa pili kila mwezi ananunua TV mpya! if you can, delete this trash [emoji23]
kuna watu tunafanya nao kazi.. mishahara inafanana na wanafanya biashara pamoja na kupokea loan.. ila asiefanya biashara anawazidi tu wengine kwa mbali.. kwenye biashara kuna kufilisika au loss pia (white elephant kama nyie zenu)
okay hii inaakisi maoni yangu kwamba tuna ignore ppp na 'mfumo tuliochagua ni mzuri ingawa tunachelewaHuu ulikuwa mradi wa PIDA ilikuwa ni Toll road mpk tender yake ilitangazwa ila wadau hawakujitokeza kwa mawazo yangu SGR iligeuka obstacle kwny hii project maana plan yake ilikuwa kutoa maroli bandarini yapite nje ya mji hakuna speed limit na foleni kama yanayopitia sasa!!!! ilikuwa bonge la project.
Jamani waacheni kidogo pia wajidai🤣🤣🤣That line of short buildings along Bagamoyo road. Behind them Uswazi tupu. 🚮🚮
Not really,why now.its only that I'm feeling dizzy trying to get your logic n you aren't explaining.maybe you have a point on why a city should be big.wacha hasira sasa 😅😅
hatujakwama lkn pia hatuta lipia popote kutumia na inshala ngoma itafka chalinzeHahaha Kimara Kibaya ambayo imeshindwa kukamilika? Wakati Nairobi expressway imechukuwa miaka miwili tu kukamilika? Wekeni uzalendo kando mkamilishe miradi zenu kwa haraka. Hata SGR mlitaka kuwapa Wachina lakini mkaamua kuwapa Waturuki sasa mumekwama. Heri mngewapa Wachina wangekuwa wameshamaliza Ujenzi wa Sgr zamani sana.
Hii picha imetusaidia sana kwa mambo mengi🤣🤣🤣🤣Skyline? 😂 😂 View attachment 2055540
Nadhani umeelezwa vizuri Sana hapo juu, huku Tanzania tunalo Daraja la Kigamboni ambalo tunalipia, lakini pesa yake inaingia serikalini/ inabaki hapa nchini, hiyo ndio maana halisi ya PPP, nchi zote duniani hizo tajiri haziwezi ruhusu kampuni la nje kwenda kushirikiana na serikali zao kwa mpango wa PPP, huko ni kuweka rehani uchumi wenu, weka ushahidi kwamba katika nchi zilizoendelea Kuna nchi yoyote ambayo wamejengewa infrastructure na kampuni la nje kwa mfumo wa PPPNilishangaa kuona Watanzania akina joto la jiwe ichoboy01 na wengine wakitucheka kwa kutumia PPP model. Nikashangaa kwani ushamba huu ulitoka wapi?
Imechelewa hata kama haijakwama.Sio kibaya ni Kibaha!!!hakuna mradi uliokwama my brother Tony!!! Miradi yote inaendelea fuatilia na percentage zake upon completion ili ulie vizuri!!!!