Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upanga baby😀😀
Apartment-for-sale-in-Upanga-Dar-es-Salaam_4.jpg
FB_IMG_1500634658882.jpg
 
ntawaaibishia mji bure..ata ukajitoa ufahamu unaufahamu vizuri mziki wa msa.ulikuaibisha sana hapahapa hujawarudia tena
Hahahahah picha huna😀😀😀😀😀
Niliwaambia mapema changanya mombasa na nairobi na kisum mbele ya dar hutoki nakwambia
 
Hahahahah picha huna😀😀😀😀😀
Niliwaambia mapema changanya mombasa na nairobi na kisum mbele ya dar hutoki nakwambia
dar changanya na mwanza alafu uilete kwa msa..hapo ntakija faster sana kupost picha
 
Pesa nyingine Billion 689 waziri mkuu amesema zilipwe Mara moja kwenye Halimashauri kutoka kwenye kampuni ya gesi ya TOL. Hapa Kazi Tu.
Screenshot_2017-07-31-20-21-04.png
 
Majadiliano kuhusu pesa zetu za madini $150billion na $40billion za faini jumla ni $190billion. Huku wakenya wakiendelea kulia na njaa sisi tunapiga madili makubwa kubwa ya dunia

DGERfoKXYAIXIGl.jpg:large


DGEP66dXsAAndlG.jpg
Mtapigwa chenga mshangae ngojeni whites can be very bright theoretically they will seek all necessary loopholes, mtachezewa poker hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1590.5 km sq changanya mombasa na nairobi kisum na kwengineo hutoboi hata ncha
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
acha tupige kura mwanzo...saa izi tuko bize na campaign ya kuenda canaan.tukimaliza tutakujaliamsha tena lile la over 20 complete na under construction ndio tuwatokomeze kabisa...naona ligi za namna ii unazipenda sana..hehee
 
acha tupige kura mwanzo...saa izi tuko bize na campaign ya kuenda canaan.tukimaliza tutakujaliamsha tena lile la over 20 complete na under construction ndio tuwatokomeze kabisa...naona ligi za namna izi unazipenda sana..hehee
Sisi tunasubiria vita sio uchaguzi tena kama ndio mushaanza kuuwana na mapema hvo😀
Nakukaribisha sana
 
Mtapigwa chenga mshangae ngojeni whites can be very bright theoretically they will seek all necessary loopholes, mtachezewa poker hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeshikilia makontena 277 yanadhahabu na almasi wao pia wanajua ndio maana wamekuja kujadili😀😀😀😀😀😀
Kama nyie munawaogopa whites basi hapa wamefika🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom