KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Hahaha lets wait and see mmeletewa top guns hapo ngojenidua la kuku halimpati mwewe.
mtatao povu sana round hii wakati sisi tukielekea bank.![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha lets wait and see mmeletewa top guns hapo ngojenidua la kuku halimpati mwewe.
mtatao povu sana round hii wakati sisi tukielekea bank.![]()
![]()
Duh!! Wewe jamaa bado unaishi maisha ya kizamani sana. Kumba bado akili za kikoloni zimo kwenye kichwa chako.Mtapigwa chenga mshangae ngojeni whites can be very bright theoretically they will seek all necessary loopholes, mtachezewa poker hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Who said about kuogopa whites, the reason y the came running is because you made them become international headlines sasa wameleta top guns hope mmeleta top guns tooTumeshikilia makontena 277 yanadhahabu na almasi wao pia wanajua ndio maana wamekuja kujadili😀😀😀😀😀😀
Kama nyie munawaogopa whites basi hapa wamefika🙂🙂🙂
Ndio kaa utulizane usikilizie majibu tumezuia madini leo miez 3 hilo utambueWho said about kuogopa whites, the reason y the came running is because you made them become international headlines sasa wameleta top guns hope mmeleta top guns too
Sent using Jamii Forums mobile app
yah......itakuwa ni ivyo lazima maana ingia kwenye google photo za kenya utagundua kuwa serikali yao imefanya cha ziada kushirikiana na google....hii habari ni kweli comrade?.
ni agharab kupata picha za slums za kenya kwenye mtandao zilizowekwa na mkenya.
picha za kibera na mathare karibia zote zinawekwa kwenye public domain na wazungu.
wengi wa hawa wazungu ni wale wanao endesha au kusimamia NGO za misaada ya kiutu katikamaeneo hayo.
Hao ni wapumbavu wachache wa Kenya, hata Tanzania wapumbavu kama hawa wapokumekucha kenya.
wakenya waanza kutoleana lugha za ubaguzi wa kikabila baada ya kifo cha utata cha boss wa IEBC ICT chris msando.
![]()
![]()
![]()
I could be using a cheap phone which I could replace any time i want, you are using an irreplacable small brain yourself so I'm better offyou must be using a very cheap mobile phone.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
loolI could be using a cheap phone which I could replace any time i want, you are using an irreplacable small brain yourself so I'm better off
Nyali Mombasa sio rika yakoIlete hio nyali yenye floor kuanzia 10 and above naisubiria hapa😀😀😀😀
nilikuwa sahihi....sio kwa povu hilo.I could be using a cheap phone which I could replace any time i want, you are using an irreplacable small brain yourself so I'm better off

vitu vingine havihitaji mbwembwe zaidi ni ushamba tu.....hayo masabufa yenu na hao wakina COLLO kwenye seat......aiseee kenya hakika ni machokoraa maradufu

jamani hayo majengo yenu ni mabaya sana ni out of looking....no mvuto,no colour