kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
hii habari ni kweli comrade?.serikali yao imepiga marufuku kupost picha halisi .....wakifanya hivyo ni kosa la jinai kwao .......nairobi bila photo editor nothing,nairobi bila kutegea angle nzuri yakupiga picha ni kesi......siunajua picha za jiji ni mali ya serikali hivyo wametengeneza deal na google![]()
![]()
![]()
ni agharab kupata picha za slums za kenya kwenye mtandao zilizowekwa na mkenya.
picha za kibera na mathare karibia zote zinawekwa kwenye public domain na wazungu.
wengi wa hawa wazungu ni wale wanao endesha au kusimamia NGO za misaada ya kiutu katika maeneo hayo.