Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NAIROBI- GARDEN CITY
20294061_1472419966168050_3391486364008376126_n.jpg
20264848_1472420216168025_6355236219238402225_n.jpg
20292877_1472420159501364_9054406969484477968_n.jpg
20429882_1472419982834715_1197149402539054020_n.jpg

36210347935_41b3b0d7c0_b.jpg
Was there yesterday fun day, it's an awesome place
IMG_20170731_173359.JPG
IMG_20170731_173334.JPG
 
Majadiliano kuhusu pesa zetu za madini $150billion na $40billion za faini jumla ni $190billion. Huku wakenya wakiendelea kulia na njaa sisi tunapiga madili makubwa kubwa ya dunia

DGERfoKXYAIXIGl.jpg:large


DGEP66dXsAAndlG.jpg
wazungu tunawaumbua safari hii
 
Picha za Nairobi bila effect au kutumia photo editor hamuwezi ku tuma uku , ilo jiji ni jiji la kale All nairobi is museum au antiquity , kuanzani leo mki posti leteni picha ambazo ni halisi za antiquity nairobi city
serikali yao imepiga marufuku kupost picha halisi .....wakifanya hivyo ni kosa la jinai kwao .......nairobi bila photo editor nothing,nairobi bila kutegea angle nzuri yakupiga picha ni kesi......siunajua picha za jiji ni mali ya serikali hivyo wametengeneza deal na google
 
Majadiliano kuhusu pesa zetu za madini $150billion na $40billion za faini jumla ni $190billion. Huku wakenya wakiendelea kulia na njaa sisi tunapiga madili makubwa kubwa ya dunia

DGERfoKXYAIXIGl.jpg:large


DGEP66dXsAAndlG.jpg
safari hii hatufati mzungu ulaya,ila yeye ndiye anayetufata sisi watu LDC kuja kufanya mazunguzo.

mambo ya kwenda ulaya kupiga selfie au ku-shake hands na wazungu tulimuachia uhuru kenyatta na wakenya wake.
hapa kazi tu.

 
Back
Top Bottom