hajielew huyo unajua dalili za kenyatta kushindwa ziko wazi kabisa😀😀😀Kuwa Rais sio tatizo.... Tatizo atapita kihalali?? Maana Kuna Mtu ashadondoshwa huko na alikua mmojawapo Kati ya wachache wanaoielewa server Ile vzr.. But ngoja tuwatakie uchaguzi mwema na Amani ya kutosha iwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
magomeni na ilala zinanyanyuka usiku na mchanaMagomeni imeanza kunyanyuka
Barrick Gold Mining waanza mazungumzo na Tanzania kuhusu pesa zetu $150billion
Wakenya mpo?
![]()
Mbona wamekuja shazi hivyo Kwan vita au wanakuja kupambana wasilipe hehe hehe tutalala na Mtu mbele mbonaMajadiliano kuhusu pesa zetu za madini $150billion na $40billion za faini jumla ni $190billion. Huku wakenya wakiendelea kulia na njaa sisi tunapiga madili makubwa kubwa ya dunia
![]()
![]()
Shazi ndio nini ndugu?Mbona wamekuja shazi hivyo Kwan vita au wanakuja kupambana wasilipe hehe hehe tutalala na Mtu mbele mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazma tule hiyo pesa......Hiyo ni lugha gani sasa?
Pesa ni nyingi kwanini wasije wengi?
Tunadai $190billion nyie wakenya mnadai wapi hata sent 5?



Picha za Nairobi bila effect au kutumia photo editor hamuwezi ku tuma uku , ilo jiji ni jiji la kale All nairobi is museum au antiquity , kuanzani leo mki posti leteni picha ambazo ni halisi za antiquity nairobi city
Hahah ah ha bwana anael, kumbe ndio uliniuliza hivyo ukidhan mi mkenya duuu... Mi mtz mwenzio asee... Tupo pamojaHiyo ni lugha gani sasa?
Pesa ni nyingi kwanini wasije wengi?
Tunadai $190billion nyie wakenya mnadai wapi hata sent 5?