The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Afrika bora mzungu angechelewa kuondoka kwenye baadhi ya mataifa
![]()
Tuonyeshe Density Kama hii ya Kisumu MwanzaNnzao unahangaika tu kupost sana hizi hapaView attachment 2051405View attachment 2051406bando lako usilitumie vibaya kijana








Tuna jambo letu chuga....Their abroad
kabisaTuna jambo letu chuga....
Ukitoa wazungu na wahindi.. Watu wa kaskazini wanaongoza Kwa majengo makubwa na hotel pale Nairobi..
Husler way is the real deal.
Sent using Jamii Forums mobile app
moja au mbili na Indoor arenas mbili and others.. hapa nimeorodhesha vitu saba assuming kila moja itacost at most $100m kwa $700m watakazoomba.. but I believe 700m can build more than seven mega sports infrastructure. na wachina kwenye miradi ya infrastructures ndo nadhan wako wepes kutoa hio mikopoMkuu, Kuna vyama vingi vya michezo mbali mbali na mabaraza ya michezo. Viongozi hawawezi kuandaa proposal nzuri Kwa ajili ya financing ya miradi kama hiyo?hiv kama wanatafuta mikopo ili kujenga SGR, miradi ya maji.. viongozi hawawez kuomba mikopo kujenga sports infrastructure? ROI inaweza isiwe kubwa lkn kuwa na great sports infrastructure ina faida nying sana
.. kama wameweza kuomba more than $3b for either SGR or JNHPP.. hatuwez kuomba hata $700m tujenge Stadiums kubwa 3, International Swimming moja au mbili na Indoor arenas mbili and others.. hapa nimeorodhesha vitu saba assuming kila moja itacost at most $100m kwa $700m watakazoomba.. na wachina kwenye miradi ya infrastructures ndo nadhan wako wepes kutoa hio mikopo
but all the top ten richest tanzanians are arabs and indians........kabisa
Sana kaka!!!ina maana haya magari yakipata alternative roads tu kadhaa foleni itapungua sana!!!Yah, foleni ya kizushi imeondoka pale aisee, kweli infrastructures ni muhimu sana katika maendeleo ya nchi.
Sijui kwa nini tunasua kujenga outer ring roads yaani ukiangalia kwny budget ni moja tu ambayo iko kwny pipeline na inapangiwa pesa ndogo sana!!! bado kuna kama mbili zaidi moja proposed ikijumuisha na wilaya ya Kisarawe!!!!Tuko slow sana kwa hili!!!Sana kaka!!!ina maana haya magari yakipata alternative roads tu kadhaa foleni itapungua sana!!!