Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar brt

93F76F60-BDA8-45CF-AF34-8896578350A7.jpeg
 
Wakenya wengi hawakuwa wanajua kwamba Tz tumeamua na tuko serious, walidhani ni ile Tz ya Nyerere iliyokuwa inatumia rasilimali zake kukomboa nchi nyingine bila faida
 
Kwakweli Nyerere alikuwa binadamu wa ajabu sana, eti anakomboa nchi zingine alafu achukui hata jiwe moja, wallahi mm nisingeweza, kwakweli kama nitamkuta Nyerere motoni cku moja basi watu wote tutaenda motoni.
 
Kenyan language, infact mijikenda language sounds exactly like kiswahili joto la jiwe View attachment 2049709
Hahahaha, wacheni kujidanganya, wakenya kazi yenu ni Domo kubwa, Kiswahili kilizaliwa Tanganyika, kikalelewa na kukulia Zanzibar, kikaenda Kenya kikaanza kuugua. Wacheni kupoteza muda Kiswahili ni lugha ya Tanzania. Ukijaribu kuuliza nani aliyetoa hizo taarifa za Mijikenda na Taita, lazima atakua ni mkenya, kwanini asitaje kabila hata Moja la Somalia, Tanzania au Mozambique?
 
Si kwa ubaya na si eti niko na madharau but you should have addressed him in Swahili. You have a very good point especially the last line but I am afraid he might not comprehend anything
Kwakua apo kimeandikwa kiajemy? Peleka mafi uko kibera
 
Back
Top Bottom