Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lol....I have been to your Arusha 7 times.....Mwanza 2 times.....infact there are some grass thatched villages around arusha town......there's nothing it's got on kisumu
Peleka matako mbele 👇
3038285_E8vvsMGWQAQVjDx.jpeg
this is outside Arusha CBDs .. una lipi la kusema.? Unaweza leta eneo la nje ya CBD Kisumu lenye maendeleo sawa na hili.?
 
Shida moja ya hii battle ni kwamba.. wenzetu hawa wanapost picha mpya kila kukicha, sisi tumekazana na picha zile zile za Mwaka 47, sasa tutawezaje kuwafanya waamini kwamba tuko vizur.? Ilihali kila kukicha picha tunazopost ni zile zile.? tuwe na utamaduni wa kutafuta picha mpya au kupiga picha mpya, na hii ndio maana halisi ya battle .. Dharau kama za kijiji cha Kisumu kulinganishwa na ARUSHA City zisingekuwepo kama tungalikua tunapiga picha mpya kila leo na kuzitupia humu.. kuna shopping centers kali kabisa 5 in Arusha mimi nimefika, lakini ikiingia hata google .unaletewa Aim Mall pekee.. sijui hii picha alipiga nani 👇
3038285_E8vvsMGWQAQVjDx.jpeg
safi kabisa, Kwanini na sisi ili tusiwe tunapiga picha za hivi nzuri na kuonyesha uhalisia wa miji yetu na maendeleo yaliyopatikana kwasasa.? .. tunakwama wapi.?
 
Back
Top Bottom