Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila hawa jamaa wana vioja sana kuna huyo taahira mmoja kaleta mada eti kiswahili ni lugha ya Kenya, yet 70% of Kenyans are speaking neither kiswahili nor English 😂😂😂 vitu vya ajabu kweli yani.. halafu wako hapa kupiga kelele eti Tz iko na level kubwa ya illiteracy.. The best 007 we unamzungumziaje ndugu yetu mkenya
 
Unaokota okota taarifa halafu unaweka humu, unasahau kama kuna wakazi wa huo mji 😂😂😂 by the way, sasahiv watu wanaweka dedicated BRT lanes,hii ni juzi tu nilipita
IMG_20211214_145646_850.jpg
IMG_20211214_135438_221.jpg
IMG_20211214_135511_694.jpg
IMG_20211214_135509_290.jpg
 
Ila hawa jamaa wana vioja sana kuna huyo taahira mmoja kaleta mada eti kiswahili ni lugha ya Kenya, yet 70% of Kenyans are speaking neither kiswahili nor English vitu vya ajabu kweli yani.. halafu wako hapa kupiga kelele eti Tz iko na level kubwa ya illiteracy.. The best 007 we unamzungumziaje ndugu yetu mkenya
Mkuu Sama boy 255 inabidi mm na wewe tuonane aisee, kuna Watz inabidi nionane nao mfano joto la jiwe babayao255 ichoboy01 NDINDA Lwiva Geza Ulole Mkwanzania xng hua Lusematic chongchung Justinr game over Naton Jr etc ambao wanapambana sana kuing'arisha Tz, heshima kwenu wakuu
 
Back
Top Bottom