Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,039
- 8,170
Wajapan huwa wako Slow hvyo so hata sishangaiJamaa wanajenga taratibu sana.
Wajapan huwa wako Slow hvyo so hata sishangaiJamaa wanajenga taratibu sana.
Mbona ya Morocco wameipeleka fasta?...Wajapan huwa wako Slow hvyo so hata sishangai
Asa kitakua cha wakenya wasiokijua hata kwa kukisoma?Hata wengi wasipo kijua Haina maana kuwa Ni cha tanzania
Huyo akothee muuza toilet paper za wahindi huko slums zone? Acha kuchekesha binti.Akothee is richer than diamond digest that.
Hawa ndio wanalalama mafisadi wamerudi ukimwuliza tupe mfano utasikia si "unaona mwenyewe" manji aneridi unamwuliza nani alimfukuza manji Tanzania na nani alithibitisha "manji fisadi" anatoa macho tuJamaa ana chuki zake binafsi kwa SSH.
Maana juzi nimepita Dodoma nimeona ujenzi wa matuta ya kutandika mataluma inaendelea kwa kasi nguzo za kupitisha nyaya za umeme kwa ajili ya reli zimeanza kuwekwa baadhi ya sehemu pia ujenzi station unakaribia kuisha.
Nikipita tena Dodoma nitapiga picha.
Mkuu, tender imetangazwa na wanasema sababu ya Covid wakandarasi wengi wanashindwa kusafiri na kuona site hivyo Tanroads wataweka link na wakandarasi waangalie Kwa video. That's fine shukrani Kwa teknolojia..BRT phase 3 tangu mwaka jana mwezi Nov walitangaza Tender, mpaka leo mwaka mmoja baadae ht kumtangaza tu mkandarasi alieshinda tender imekua tatzo.
Enzi zile ulikua unawaona mawaziri wakipishana kuangalia status za miradi which helped to push miradi, now days wapo kimyaa utadhani sio wao waliokua na mwendazake awamu iliyopita.
SRG kipande cha Mwanza Isaka sijawahi kupata updates zake, kinafanyika kweli?
Daladala zote Zitatoka mjini yatabaki mabasi makubwaHii BRT phase 3 ndio itauwa kabisa aisee.
Kama una ubavu leta picture ya Kisumu village center bila hili jengo 😄😄😄kisumu dala. home of barrack obama View attachment 2049488View attachment 2049484View attachment 2049485
Wajapani waanze kutumia Kiswahili Sasa hivi kama lugha ya Taifa utasema Kiswahili Chao?Asa kitakua cha wakenya wasiokijua hata kwa kukisoma?
We unajua Kisumu kweli? If I start posting Kisumu you will run if you like let's do a Kisumu vs Arusha battle we see how far you will go both real estate infrastructures parks economic activities hospitals social amenities and the likeKama una ubavu leta picture ya Kisumu village center bila hili jengo
Pictures zote mnazo post lazima lijitokezemeans Kisumu is so tiny village
View attachment 2049498
hizi ndio ujinga unafananisha nayo Kisumu....Maskin huna cha kuonyesha zaidi ya hizo calvat na NMT.. na sio kama Arusha hakuna NMT, lahasha mimi ndio sina picha.. lakini japo kwa uchache leo nimekutaftieni. Naona umempost mpaka soko
View attachment 2049448View attachment 2049449View attachment 2049452View attachment 2049453View attachment 2049454View attachment 2049466inahitaji ujitoe ufahamu sana ili kusema Kisumu ni zaidi ya ARUSHA
heb ona
hapa sio hata CBD View attachment 2049473View attachment 2049475bonus
View attachment 2049476



oh dear lordmbona pia Building tatu za blue kila leo?!Kama una ubavu leta picture ya Kisumu village center bila hili jengo 😄😄😄
Pictures zote mnazo post lazima lijitokeze 👆👆👆 means Kisumu is so tiny village
View attachment 2049498
Bandari ya bongo yani hawangeweza kudetect, either ni ufisadi au ni kukosekana kwa vifaa muhimu.

manze ive used the port, aii stress tu bana