tulia dawa ikuingieUnapost eneo moja kwa picha 100![]()
tulia dawa ikuingieUnapost eneo moja kwa picha 100![]()
Hukatazwi kujifurahisha kijana, uko hurutulia dawa ikuingie
By the way, hapa ni wapi ulisema vile.?tulia dawa ikuingie
Shida moja ya hii battle ni kwamba.. wenzetu hawa wanapost picha mpya kila kukicha, sisi tumekazana na picha zile zile za Mwaka 47, sasa tutawezaje kuwafanya waamini kwamba tuko vizur.? Ilihali kila kukicha picha tunazopost ni zile zile.? tuwe na utamaduni wa kutafuta picha mpya au kupiga picha mpya, na hii ndio maana halisi ya battle .. Dharau kama za kijiji cha Kisumu kulinganishwa na ARUSHA City zisingekuwepo kama tungalikua tunapiga picha mpya kila leo na kuzitupia humu.. kuna shopping centers kali kabisa 5 in Arusha mimi nimefika, lakini ikiingia hata google .unaletewa Aim Mall pekee.. sijui hii picha alipiga naniView attachment 2049971safi kabisa, Kwanini na sisi ili tusiwe tunapiga picha za hivi nzuri na kuonyesha uhalisia wa miji yetu na maendeleo yaliyopatikana kwasasa.? .. tunakwama wapi.?
Kwa hoteli arusha takes it, nilijua arusha is big when i took an 8 hr trip to loliondoNyie mbwa acheni ushenzi wa kutaka kulinganisha huu upuuziView attachment 2049804na jiji kama Arusha
View attachment 2049805View attachment 2049807View attachment 2049810View attachment 2049811View attachment 2049812View attachment 2049813mkome kulinganisha uchafu na majiji jameni ..
View attachment 2049817View attachment 2049818View attachment 2049820View attachment 2049822View attachment 2049823View attachment 2049824View attachment 2049825View attachment 2049827View attachment 2049842View attachment 2049843View attachment 2049844View attachment 2049845View attachment 2049850View attachment 2049851me naona tu, tunawapa moyo tu hawa jamaa wa Kisumu village

Ni wivu ndio baba yako mzazi?nenda ukanywe githeriakili irudView attachment 2049967View attachment 2049969
Kwa hoteli arusha takes it, nilijua arusha is big when i took an 8 hr trip to loliondo
Waeleze wenzako sasa.. oy ulifika mwaka gani mwanangu.?Kwa hoteli arusha takes it, nilijua arusha is big when i took an 8 hr trip to loliondo
Loliondo ulifata kikombe cha babu nini.?Kwa hoteli arusha takes it, nilijua arusha is big when i took an 8 hr trip to loliondo
Toa hii uchafu hapa huezi ukalinganisha Kenya na tanzanyaniNi wivu ndio baba yako mzazi?nenda ukanywe githeriakili irudView attachment 2049967View attachment 2049969
Then what brought you hare.?Toa hii uchafu hapa huezi ukalinganisha Kenya na tanzanyani
Usiende naye pupa huyo mgeni atapata adabu soon, tunashukuru Wakenya wanaitana kuja kujionea upumbavu waliofundishwa na reality ilivyo tofauti.Then what brought you hare.?
😂😂😂 Sawa kwahyo taratibu taratibu itafahamika tuUsiende naye pupa huyo mgeni atapata adabu soon, tunashukuru Wakenya wanaitana kuja kujionea upumbavu waliofundishwa na reality ilivyo tofauti.
Heheheheeee tuliwaambiaaaKwa hoteli arusha takes it, nilijua arusha is big when i took an 8 hr trip to loliondo










choice variable amemalizaHeheheheeee tuliwaambiaaa![]()
Kuna wahenga flani wanakwambia battle imevamiwa na watoto zen wakongwe wamekaa pembeni, mm nawaambia hao wakongwe waendelee kukaa pembeni mana hawana jipya, ila na cc tutakuwa wakongwe zen tutapitwa na wakati tutawaachia kizazi kijacho, weka picha wacha kutafuta ukongwe kwenye mitandao ya kijamii.Shida moja ya hii battle ni kwamba.. wenzetu hawa wanapost picha mpya kila kukicha, sisi tumekazana na picha zile zile za Mwaka 47, sasa tutawezaje kuwafanya waamini kwamba tuko vizur.? Ilihali kila kukicha picha tunazopost ni zile zile.? tuwe na utamaduni wa kutafuta picha mpya au kupiga picha mpya, na hii ndio maana halisi ya battle .. Dharau kama za kijiji cha Kisumu kulinganishwa na ARUSHA City zisingekuwepo kama tungalikua tunapiga picha mpya kila leo na kuzitupia humu.. kuna shopping centers kali kabisa 5 in Arusha mimi nimefika, lakini ikiingia hata google .unaletewa Aim Mall pekee.. sijui hii picha alipiga naniView attachment 2049971safi kabisa, Kwanini na sisi ili tusiwe tunapiga picha za hivi nzuri na kuonyesha uhalisia wa miji yetu na maendeleo yaliyopatikana kwasasa.? .. tunakwama wapi.?
Hiyo ilikuwa 2018 mzee, kipindi ambacho hakuwa anajua miradi inayoendelea, now hasemi hivyo na yupo humu ndani.choice variable amemalizaView attachment 2050011








😂😂😂😂 Naona umekimbilia usaidizi wa maandishi .. baada ya kuona hujui utahemea wapi, .. sikia mwenzako huyu alifika Arusha 👇choice variable amemalizaView attachment 2050011
Kwa hoteli arusha takes it, nilijua arusha is big when i took an 8 hr trip to loliondo
KENPAULITE kamaliza battle ya Kisumu vs Arusha, hakuna tena haja ya kuendelea na battleKwa hoteli arusha takes it, nilijua arusha is big when i took an 8 hr trip to loliondo












