Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Kisumu International Airport

38_big.jpg


800px-KISUMU_INTERNATIONAL_AIRPORT.jpeg


Kisumu04.jpg


Kisumu08.jpg


Kisumu12.jpg
 
Hawa ndio wanalalama mafisadi wamerudi ukimwuliza tupe mfano utasikia si "unaona mwenyewe" manji aneridi unamwuliza nani alimfukuza manji Tanzania na nani alithibitisha "manji fisadi" anatoa macho tu
Watu wajifunze kukosoa vitu kwa kutumia facts na sio kutumia mihemuko na chuki binafsi.
 
We unajua Kisumu kweli? If I start posting Kisumu you will run if you like let's do a Kisumu vs Arusha battle we see how far you will go both real estate infrastructures parks economic activities hospitals social amenities and the like
KISUMU haiwez shindana na ARUSHA hata dakika moja tu
hizi ndio ujinga unafananisha nayo Kisumu....oh dear lord
😂😂😂😂😂 Nimecheka kifala sana..
 
Hii Govt ni incompetent mkuu, inakwenda kufeli ktk kila jambo, mambo mengine madogo madogo tu na haiwezi kufanya, wkt mwingine inakurupuka kufanya maamuzi wkt inajua fika imejaza incompetent leaders, inavunjia watu vibanda na haijawatengea maeneo ya kufanyia biashara matokeo yake watu wanajenga tena mavibanda yale yale maeneo yale yale na hawafanywi kitu.

Mpk ss hakuna mradi wowote iliyoahidi na ikafanya, mtasema ndiyo kwanza imeingia lkn nawakumbusha tu inakaribia kumaliza mwaka huku ikijenga madarasa pekee.
Nilitamani kulia nilipoona kabisa Rais anaitwa watu kuwa amekopa ili akajenge madarasa wakati pesa ya Tozo kwa miezi 3 pekee inatosha kujenga shule bora kabisa nchi nzima, yaani now watu wanamuuibia tu mama wa watu
 
Back
Top Bottom