Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nijibu hoja za mtu ambaye anaamini data za mashirika za kimataifa zinaandikwa na wakenya? Mtu mjinga kama huyo si unamtusi tu huenda akili ikafunguka!
Akili ndogo wewe, sio kila data inayotolewa na WB na IMF ni sahihi, na kwa msomi timamu huwezi kukubaliana na kila kilichandikwa huo ni uzuzu, akili zako zisiwe limited kiasi hicho, huwezi kuniambia eti Tz kuna umaskini uliokithiri kuliko kenya while kwa ground inaonekana kabisa wapo wakenya wanakufa kwa kukosa chakula alafu nikubaliane na hiyo taarifa.. no way
 
Bado kuna private weight brigde zinatukika na cergo transporter kabla malori hayajaanza safari . Wanaofanya biashara malori lazima wapime kwenye mizani ya watu binafsi kabla hawajaanza safari hili wajue kama mzigo umezidi wapunguze
 
Kuna weight bridges ngapi ndani ya kenya.? 😂😂
 
Dar kwani ni ngumu aje kupata city clock, mumepost mapicha sijaona hata moja. Nairobi kila corner ziko.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…