Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Yuataka kuvuruga battle huyo,🤣🤣🤣🤣🤣Nakuuliza kwa mara ya mwisho, nikuletee Eastlands?
Yuataka kuvuruga battle huyo,🤣🤣🤣🤣🤣Nakuuliza kwa mara ya mwisho, nikuletee Eastlands?
Factsdar has no modern city vibe outside it's cbd...it's those uswazi hovels
Kakimbia Dodoma🤣🤣 Leo ni Eastlands vs Tanzania 🤣🤣🤣
Kaa kimya na hizo cheap apartments za East land utafananisha na nini hapo juu.?
Acha kujifurahisha we nyang'au huijui DSM . niambie mimi unachotaka nikuonyeshe nipo kwaajili yenu leoFacts
, Oyster bay DSMWamenunua ugomvi, hivi hawaelewi kwnn mzungu kasema hivi








umempa somo ila kwa kuwa kichwa cha huyo mkenya ni box hakuna alichoelewaMkuu sio kweli kwamba kilimani ni pana/kubwa kushinda hayo maeneo ya Dar es salaam, tena kilimani inawezekana ikawa ndogo mno kwa hayo maeneo.
Hata kwa kuangalia tu unaweza kutambua kua Dar iko too far from ground compared to that section of Nairobi... ijapokua zote ziko measured katika same elevation.
Kwanini Iwe ivyo??? ni kwasababu Dar na Nai zina altitude/elevation tofauti kutoka usawa wa bahari, na kwenye hizo ramani haijazingatia utofauti huo.
=>Dar es salaam ipo lowland with an average of 55M(180ft) kutoka usawa wa bahari. While...
=>Nairobi ipo highland with an average of 1795M(5889ft) kutoka usawa wa bahari.
Kwahiyo bwana mkubwa Pepsi big hizo setilite image ulizoweka zinatofautiana scale hivyo basi mlinganisho wako au wenu majirani unawalakini, la sivyo utafute deference in election iliyopo kati ya Nai na Dar, ndio u-zoom zaidi Dar map ku-compensate, ukifanya hivyo kilimani itatoshana na mtaa ndani kariakoo.
Tizama screenshot hizi nimetumia same elevation lakini features zina-appear kuwa na scale tofauti kutokana na altitude ya eneo husika.
Highland: Nairobi & Arusha
View attachment 2042065View attachment 2042066
Lowland😀ar es salaam & Mombasa.
View attachment 2042067View attachment 2042068
Unaweza ukajihakikishia mwenyewe kama huamini.
Case closed.
we kweli mgeni,endelea kujidanganyahawa huskia tu kanairo.....I am sure they have never visited. hence the ignorance
Me ntabika hizo umbwa vibaya mno jioni ya leo .. 😂😂 subiri uone
Raia wa Kawaida Nairobi wanaishi Eastlands na maeneo Kama hayo. Eastlands sio mtaa but rather the eastern part of Nairobi comprising of several residential areas. Sasa linganisha hizi makazi za eastlands na zile dreamhouses zenu that dot your entire cityKenya nzima imezungukwa na slums na ndiyo maana hawataki kupiga picha maeneo wanayoishi raia wa kawaida kama hawa wa humu jamii forums, utakuta anapiga vipicha vya CBD wanabadili kila upande na ukikuta kapost residential ujue ni za foreigners.
Wakenya ni wachafu sana mkuu, kama wakiachiwa wakae pamoja na foreigners basi hayo maeneo yote yatakuwa machafu kama wanapoishi majolity.
Kigamboni kuna mall gani? Wachina walijenga residentials bila shopping center.🤣🤣😂 Can never be Nairobi.
Unataka mall au residential apartments.?Kigamboni kuna mall gani? Wachina walijenga residentials bila shopping center.🤣🤣😂 Can never be Nairobi.
Kakasirika, karudia rudia mipicha ya cheap apartmentsRaia wa Kawaida Nairobi wanaishi Eastlands na maeneo Kama hayo. Eastlands sio mtaa but rather the eastern part of Nairobi comprising of several residential areas. Sasa linganisha hizi makazi za eastlands na zile dreamhouses zenu that dot your entire city
Donholm
View attachment 2041994View attachment 2042006View attachment 2042007View attachment 2042008View attachment 2042010
Embakasi
View attachment 2042091View attachment 2042092View attachment 2042094View attachment 2042099View attachment 2042100
Pipeline
View attachment 2042103View attachment 2042104View attachment 2042105View attachment 2042106View attachment 2042108
Komarock
View attachment 2042111View attachment 2042115
And then we have a typical residential area in Dar where the majority liveView attachment 2042118
View attachment 2042017
View attachment 2042024
View attachment 2042025









Nataka kuona malls kwa suburbs. Si mlisema mkona middle class. 😂😂Acha kujifurahisha we nyang'au huijui DSM . niambie mimi unachotaka nikuonyeshe nipo kwaajili yenu leo
NAIROBI kwisha ,Kigamboni kuna mall gani? Wachina walijenga residentials bila shopping center.Can never be Nairobi.
😂😂😂 Ila we Chizi unachekesha sana picha zote ulizopost mara ooh East land ni mtaa sijui nini na nini 😂😂 kumbe ni summary ya kitu hiki hapa 👇Raia wa Kawaida Nairobi wanaishi Eastlands na maeneo Kama hayo. Eastlands sio mtaa but rather the eastern part of Nairobi comprising of several residential areas. Sasa linganisha hizi makazi za eastlands na zile dreamhouses zenu that dot your entire city
Donholm
View attachment 2041994View attachment 2042006View attachment 2042007View attachment 2042008View attachment 2042010
Embakasi
View attachment 2042091View attachment 2042092View attachment 2042094View attachment 2042099View attachment 2042100
Pipeline
View attachment 2042103View attachment 2042104View attachment 2042105View attachment 2042106View attachment 2042108
Komarock
View attachment 2042111View attachment 2042115
And then we have a typical residential area in Dar where the majority live 😂 View attachment 2042118
View attachment 2042017
View attachment 2042024
View attachment 2042025