Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Hii ni roysambu, waga hatuipost kabisa👇👇🥰Kwani nyinyi huwa mnapost mitaa mipya jamani.? 😂😂 Si ni hiyo hiyo East land ya cheap apartments 😂😂 a.k.a shule
Hii ni roysambu, waga hatuipost kabisa👇👇🥰Kwani nyinyi huwa mnapost mitaa mipya jamani.? 😂😂 Si ni hiyo hiyo East land ya cheap apartments 😂😂 a.k.a shule
😂😂 Dream house sio hizo, au unataka nikuonyeshe dream house za Dar watu hujenga, ili uone ni jinsi gani wabongo tupo vizuri hasa kwa middle classDar kuna middle-class zaidi ya hizo changaduo za uswazi mnazoita dreamhouses?
Oyaaa tuonyeshe super markets za mtaani kama hii. Malls tumekubali hamna. 🤣🤣🤣🤣Wasichokijua ni kwamba suala la apartments DSM ni kitu cha thamani, hatujengi tu hovyo hovyo, nyumba cheap na ambazo hazina madirisha kama kwao 😂😂😂
Hii ni kasarani, najua unaiona leo👇👇👇👇Kwani nyinyi huwa mnapost mitaa mipya jamani.? 😂😂 Si ni hiyo hiyo East land ya cheap apartments 😂😂 a.k.a shule
Alooo🤣🤣🤣🤣🤣 Eastlands imekuliza hiviHuwa wanaona tunakaa kmy basi wanadhani hatuna apartments, cc tunajenga kote kote, isitoshe wao vi apartments vya bati nyekundu juu vipo tuu Nairobi, cc zipo Dar, Zanzibar, Moshi, na Dodoma.
Mmmh bwana CoCo 😂😂 hakuna picha ya eneo lolote ndani ya NAIROBI ambayo haijawahi kupostiwa humu, hizi me mwenyewe nnazo kwa gallery yanguHii ni roysambu, waga hatuipost kabisa👇👇🥰View attachment 2042177View attachment 2042178
Mpo vizuri kwenye middle-class?? 😂 😂 😂😂😂 Dream house sio hizo, au unataka nikuonyeshe dream house za Dar watu hujenga, ili uone ni jinsi gani wabongo tupo vizuri hasa kwa middle class
Ngoja kwanza unataka kuona dream houses za middle class wa Dar venye zinakaa au hutaki ?Mpo vizuri kwenye middle-class?? 😂 😂 😂
Hebu nipe takwimu ya middle-class kati ya Kenya na Tanzania tuone
Tuonyeshe za mtaa kama hizi tufunge account battle iishe kabisa. 🤣🤣🤣🤣Mzee super market ni nyingi mno hapa DSM picha ndio kikwazo .. kuna supermarkets au malls kali maeneo ambayo wala hujawahi kuyaskia yakitajwa humu
Nilikuacha ujifurahishe kidogo basi mwenyewe unaona umeupatia 😂😂 okey poa ngoja nikujibu .. 👇Oyaaa tuonyeshe super markets za mtaani kama hii. Malls tumekubali hamna. 🤣🤣🤣🤣
![]()
Vizuri na malls na supermarkets lazima waende CBD au kwa wealthy suburbs. Dar ni jiji la kishamba sana walai. Just imagine mtu atoke Kite au Juja eti ameenda tao kushop au kuhangout kwa mall. 🤣🤣🤣🤣Mpo vizuri kwenye middle-class?? 😂 😂 😂
Hebu nipe takwimu ya middle-class kati ya Kenya na Tanzania tuone
Hata mimi nimecheka hiyo statement yake sana. Eti wako na apartments? 😂 😂. Ziko wapi tuzione?Alooo🤣🤣🤣🤣🤣 Eastlands imekuliza hivi
Naona ameingia battle ya malls 😂 😂Vizuri na malls na supermarkets lazima waende CBD au kwa wealthy suburbs. Dar ni jiji la kishamba sana walai. Just imagine mtu atoke Kite au Juja eti ameenda tao kushop au kuhangout kwa mall. 🤣🤣🤣🤣
Tuonyeshe za mtaa kama hizi tufunge account battle iishe kabisa. 🤣🤣🤣🤣
![]()
Me ntakupostia na location zilipoNilikuacha ujifurahishe kidogo basi mwenyewe unaona umeupatia 😂😂 okey poa ngoja nikujibu .. 👇View attachment 2042181View attachment 2042182View attachment 2042183hiyo Mall ipo chang'ombeView attachment 2042184View attachment 2042185
Hii iko kimara ama?😂😂🤣🤣Nilikuacha ujifurahishe kidogo basi mwenyewe unaona umeupatia 😂😂 okey poa ngoja nikujibu .. 👇View attachment 2042181View attachment 2042182View attachment 2042183hiyo Mall ipo chang'ombeView attachment 2042184View attachment 2042185
We ndio unaniacha hoi kabisa 😂😂 twende kaziNaona ameingia battle ya malls 😂 😂
How long will he go?
Atuonyeshe mall kigamboni kwanza kabla tuendelee. Hatatutaki one sided battles hapa. 😂🤣Naona ameingia battle ya malls 😂 😂
How long will he go?
Ulitaka mall iyopo kimara au unataka malls kwenye suburbs za bongo.? 😂😂😂Hii iko kimara ama?😂😂🤣🤣
Kwani kimara sio suburb, au hujui maana ya suburb.Ulitaka mall iyopo kimara au unataka malls kwenye suburbs za bongo.? 😂😂😂
Tukianza kuonyesha nyumba moja moja tutazaja server for no good reason. The best thing ni kuleta takwimu za middle-class between Kenya and Tanzania. It will save us a lot of timeNgoja kwanza unataka kuona dream houses za middle class wa Dar venye zinakaa au hutaki ?