Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenya imeingia mwezi huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiibisha tu ujue umebishana na Don YF
Mi naziona hzo gari mzee bana, kuna watu wanatoa vyuma bandarani..
Labda awe anamaanisha toyota kenya ndio mzigo umetua km anavyosema
 
Unaongea upumbavu ndio mana unarauliwa, sasa kwaakili zako chache yani jeshi la nchi nzima liwe na chopa tano.? [emoji23][emoji23][emoji23].mara Ooh raisi wetu alikua anatumia chopa zenu kwaajili ya kampani za uchaguzi [emoji23][emoji23][emoji23] Unafkiri kwanini usichekwe.?
But its true, my friend was his pilot during that campaign period
 
But its true, my friend was his pilot during that campaign period
Hawa watu hawapendi ukweli. Ukiangalia most of the helicopters being used in Tanzania they are either za South Africa ama za Kenya.

This is Tindwa Medical and Health Services, Dar es salaam. They are uisng Kenya helicopters for their operations.

1639077849882.png
 
Hawa watu hawapendi ukweli. Ukiangalia most of the helicopters being used in Tanzania they are either za South Africa ama za Kenya.
kwamba jeshi la tanzania linatumia helicopter za south na kenya 🤣🤣🤣
 
Kweli uko kwenu kuna umaskini, toyota nayo ni gari ya maana sana kwamba kununua iwe ni ngumu.? ilihali diamond hayupo hata kwenye top list ya watanzania matajiri na anamiliki Rolls-Royce Calinan 2021 [emoji23][emoji23][emoji23] poor Kenyans
RR second hand[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu wewe huna ubavu wa kununua gari toyota kenya..
Unafikiria toyota kenya wanauza mikweche iliyotumika nje
 
RR second hand[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu wewe huna ubavu wa kununua gari toyota kenya..
Unafikiria toyota kenya wanauza mikweche iliyotumika nje
second hand kwakua ww ndio ulioagiza 😂😂 yani munawivu mpaka gari za watu
 
Back
Top Bottom