Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unaakili mbovu wewe facelift utaipata wapi na gari imetoka mwaka huu june 😂😂😂

facelift inakuja baada ya mwaka na kitu hata hzo spare zinaanza kutapakaa baada ya mwaka duniani 😃😃😃😃

hujui hata kutofautisha LC 200 and LC 300
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bro shida ni kwamba huyo tahira yeye anasoma vitu kwenye mitandao while wewe unacheza navyo hivi vitu daily kitaa.. hiyo ni tofauti kubwa mno, maskini kubishana na mtu mwenye hela zake tena eti kuhusu magari 😂😂😂 no wonder uskute huyu mpuuzi Don YF hana ata ka IST
 
Nimesema Leo ni siku ya vituko🤣🤣🤣 world war 1 planes.View attachment 2038352
3027846_DFD31F53-C12D-452E-92CC-B00549F25FC7.jpeg
3027845_01422D2C-8B71-451E-8BAC-CA9C99E66F29.jpeg

Ukizidiwa unakua muungwana unakaa kimya sio kutaka kutafuta pa kutokea, pole sana ..
 
Ata kwa Uganda hamtoshi, vifaa gani hizo mnaanika mbele ya watu? kisha unapiga kifua 😂 😂 😂 😂 ., chunguza Rwanda ama Uganda kwanza., zenyu zinakaa kienyeji sana, tazama hayo malory, zima moto zinafanana model ya kizamani 😂 😂 😂 😂 😂 ., ningekua mtanzania nisingepost hizo picha za sherehe mnapost humu., ilikua somewhat down!! speeches????., mvutio haukukua, afadhali ata show ya Diamond ama game ya Simba vs Yanga.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hizo nchi ulizotaja zote combined pamoja na nynyi hamtuwezi ikifika suala la jeshi mkae mbali sana
 
Ata kwa Uganda hamtoshi, vifaa gani hizo mnaanika mbele ya watu? kisha unapiga kifua 😂 😂 😂 😂 ., chunguza Rwanda ama Uganda kwanza., zenyu zinakaa kienyeji sana, tazama hayo malory, zima moto zinafanana model ya kizamani 😂 😂 😂 😂 😂 ., ningekua mtanzania nisingepost hizo picha za sherehe mnapost humu., ilikua somewhat down!! speeches????., mvutio haukukua, afadhali ata show ya Diamond ama game ya Simba vs Yanga.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Si tangu juzi mnatumia baba level kama reference kwamba mko na maendeleo.. lakini huyo huyo Baba level mwenyewe anajua kwamba vinchi vya hapa EA vikijipendekeza tutavizabua 👇
Screenshot_20211209-192517_1.jpg
 
nashauri dodoma wajenge open space kubwa kwa ajili ya ishu za sherehe kama hizi za leo.. wengine wanaita “square”..
hizi events kama independence anniversary, sijui president’s swearing ceremony kufanyika uwanjan naona imebaki Africa tu.. wenzetu nje ya africa hazifanyiki uwanjan tena
China

NK
 
Kwanza inaharibu uwanja pia ni very local, unajua mambo mengine ni madogo tu na yanawezekana lkn Africa tumejaa mapuuza lkn ni vitu muhimu, cheap na vyenye kuleta maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom