Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mara mingi nikisema Tanzania hawajiwezi ila ni nature is taking care of them like Baboons kule porini, wananuna , yaani kukula na ku kunywa sio kwa nguvu zao, la hasha! ni vya Mungu tu, nyani hawa , kama vile nimekua nikisema Dar developed area ni sehemu moja na ndogo., yaani "city centre" ya maana ni moja tu(what we call CBD in Kenya)., Baba Levo na mzungu anaye jiita Sabbatical justified my argument on that, na ile ya nature taking care of poverty stricken bongolalas, huyu dada kadhibitisha., nendeni muwanyonge hawa sio wazalendo kabisaaa , Sabbatical msimpe visa ya kuingia bongo tena, ni beberu.,
View attachment 2036027
View attachment 2036039
View attachment 2036048
Ss kama unataka post za hivi c naingia twitter tu nakuletea comments za KOT on Tz c utakimbia wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini Cha ajabu Sasa hapo🤣🤣🤣🤣🚮🚮 we rank ahead of you in fifa rankings. Tanzania is the least sporting nation in the world. Nitajie one sport ambayo mko successful kando na uchawi na umaskini.
Begging.
 
IMG_20211201_174631_889.jpg
IMG_20211201_175238_608.jpg
IMG_20211201_175407_961.jpg
IMG_20211201_175301_539.jpg
IMG_20211201_175037_329.jpg
IMG_20211201_173130_991.jpg
IMG_20211201_173049_896.jpg
IMG_20211201_173045_989.jpg
IMG_20211201_174035_050.jpg
IMG_20211201_174041_311.jpg

Juzi kati nilipata bahati ya kupita maeneo ya Kigamboni basi nikaone nipate picha ya hii Kurasini interchange, kwanini wabongo wa humu ndani sijui Kwanini hatuizungumzii hii interchange kabisa.. ila kiukweli ni nzuri mnoo ..
 
View attachment 2036227View attachment 2036229View attachment 2036231View attachment 2036233View attachment 2036238View attachment 2036239View attachment 2036241View attachment 2036242View attachment 2036243View attachment 2036244

Hehehehee tulishawapiga sn na hii interchange, wanaijua vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu leo nimekosa bonge la view, yale ma modern helkopta yetu yalikuwa yanaongozana leo, sema simu ilikuwa mbali dah, ningetupia humu niwaumuze wakunya wakiona H225 tano zimeongozana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama gorofa moja inaanguka mkianza kujenga 10 kwenda juu je?
Mbona magorofa mengi Tu sema hiyo alipewa engineer Michael aliesomea kunyaland alipo fundishwa kuchanganya udongo mwekundu na cement na msela mmoja kutoka kiambu ndo matokeo hayo🙂 tunavongea engineer Michael Yupo central anatoa maelezo kamili🙂
 
View attachment 2036227View attachment 2036229View attachment 2036231View attachment 2036233View attachment 2036238View attachment 2036239View attachment 2036241View attachment 2036242View attachment 2036243View attachment 2036244
Juzi kati nilipata bahati ya kupita maeneo ya Kigamboni basi nikaone nipate picha ya hii Kurasini interchange, kwanini wabongo wa humu ndani sijui Kwanini hatuizungumzii hii interchange kabisa.. ila kiukweli ni nzuri mnoo ..

Hii imepotezewa sana, Hata kule SSC sidhani kama ilikua na thread labda kwa sababu kimepigwa kitu two in one , Watu wamefocus sana kwenye daraja hii imepotezewa vibaya mno.
 
Mbona magorofa mengi Tu sema hiyo alipewa engineer Michael aliesomea kunyaland alipo fundishwa kuchanganya udongo mwekundu na cement na msela mmoja kutoka kiambu ndo matokeo hayo🙂 tunavongea engineer Michael Yupo central anatoa maelezo kamili🙂
Tunaongelea magorofa ya uswazi. Sio akina Britam ama TPA ambayo yalibuniwa na Wakenya.
 
Back
Top Bottom