CAPABLE GOD
JF-Expert Member
- Dec 5, 2020
- 285
- 334
15000 students
😃😃😃😃😃😃Amtafute Masanja Kadogosa atamfundisha kurevamp railway system
tuliwaambia lakini,kazi yao ni kubisha tu na kujifariji
Ngoja leo niwaonyesha hawa wa kenya namna tunavyowachukulia, hii ni baada ya leo serikali ya kenya kutangaza mtu yoyote ambae hajapata chanjo hatoruhisiwa kuingia nchini humo.. bandiko . Check out tz replies za wabongoView attachment 2035318View attachment 2035319View attachment 2035320


nimecheka kweli kweli,That's Outering Road Kijana wa Tandale 😂 😂. Hii Nairobi itakuchanganya ushangaebut its chinnese owned project je hilo unalijua?? na je unajua hamutapita bila malipo 🤣🤣🤣😂 kwa hvo ni sawa siwez kataa lakini sio kenya itoe pesa ijenge wakat pesa ya 5km railway haina
Nmedhibitisha Nairobi kweli kuna barabara nyingi za juu kama alivyosema Baba Levo. Yani hadi mdanganyika hajui hii ni outering road ambayo imekua in existence since sikumbuki ata lini.That's Outering Road Kijana wa Tandale![]()
. Hii Nairobi itakuchanganya ushangae
Ile wimbo wako wa render umeisahau leo?tuko busy kujenga miradi mikubwa africa mashariki na kati tuko busy kuijenga dodoma na tuko busy kujenga viwanda vikubwa sana ukanda huu kaa mkao wa kula 😂😂😂 2 yrs to come hakuna sehemu itaifikia kigamboni kwenye industries
Tukiwaambia hawasikii. Outering road has been in existing for around five years now na midanganyika are still confusing it with the expressway. Wanadhani Nairobi ni jiji la one elevated road kama yao! Zipo nyingi we can't even countNmedhibitisha Nairobi kweli kuna barabara nyingi za juu kama alivyosema Baba Levo. Yani hadi mdanganyika hajui hii ni outering road ambayo imekua in existence since sikumbuki ata lini.
Differentiate between "tuta" na "ame"Joe Biden ametenga bajeti ya $1+ Kwa ajili ya infrastructures Nenda kamshangae naye amesema tuta.
Unajua maana ya mipango au planning?
Why would a government go public about something like that if indeed it's not true? What does it stand to gain by saying that publicly if there's no truth in it? Saa zingine mnaona watu ni wajinga sana!Siyo visingizio, no kweli. Tena huwa tunanunua mapya kabisa kutoka Japan.
Kabla ya 1993 magari yote ya serikali yalikuwa yakiagizwa kutoka Uingereza (109, 110 na Defender). Mercedes-Benz zilitumika kwa viongozi wakuu tuu.
Sawa bongolala. Ondoa GDP kisha uniletee mahali mumetupiku kwenye Human development index, middle-class population, poverty index, manufacturing na mambo kama hayoTunawapiku kwenye vyote isipokuwa kwenye GDP ya kuandika kwenye karatasi hiyo ndio mtakuwa mmetuzidi tuu
Wanadhani Nairobi ina grade-separated road moja kama Ubungo interchange hapo Dar.🤣That's Outering Road Kijana wa Tandale 😂 😂. Hii Nairobi itakuchanganya ushangae
This just confirms what that artist of theirs said about Nairobi. Ikishafika mahali wanakuwa confused hivi ujue ni pabayaWanadhani Nairobi ina grade-separated road moja kama Ubungo interchange hapo Dar.🤣