komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
South africa km ndio sehemu ya kutafuta maisha heri nibaki kenya, sauzi kuna maajabu gani haswa..yani niachane na watu km akina UK, GERMANY na CANADA ndio niende sauziMaskini wa tz wanakimbiliaga SA kutafuta maisha, hata maskini wa Morocco hukimbiliaga Spain kufata maisha mazuri, sasa ukiona unabezwa na maskini kwamba aje kufuata nini nchini mwako jua wewe huna maajabu/jambo la maana.. punguani wewe .. huwa unatumiaga asilimia ngapi ya Ubongo wako kuelewa mambo.?
..


Wao wenywe kule wanajifea, yani mbongo akitoka sauzi anachukua mpka wake za watu
