komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Unamaanisha picha yenye uchochoro km hyoAtokee mkunya yeyote aweke picha yenye concrete jungle kama hii ili nifunge accnt Jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha picha yenye uchochoro km hyoAtokee mkunya yeyote aweke picha yenye concrete jungle kama hii ili nifunge accnt Jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!!yani hapo anapaona pakali unyamaHaruna uchafu kama huu Kenya.
Lipia kigamboni weweWakenya mnaona cc Watz tulipofika? Angalia one of our cable stayed bridges hiyo, nimesave hii picha ckuwa nayo, asante sana ila nawakumbusha msije kuitumia kule skyscraper city cz tupo na nikikubaini sitakuacha salama
Sent using Jamii Forums mobile app

hela ya ndani kw vipi, si mlipie hilo daraja ndio toll fee ziisheDSM Baba laoAtokee mkunya yeyote aweke picha yenye concrete jungle kama hii ili nifunge accnt Jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
imejemgwa na serekali ya tanzania imagine na tozo zinaenda serekalini nyie je tozo zinenda kwa nani kama sio mchina kwa miaka 30🤣🤣🤣🤣 yani hata aibu huoniunawashwa na wakenya kulipia toll unasahau huko kwenu dalala inalipa tsh5000/ksh244 ili kuvuka daraja??
View attachment 2035278
Sasa maskini kama wewe ukuje kenya kufanya nini kama si omba omba, hii shida wachia matajiri banaNgoja leo niwaonyesha hawa wa kenya namna tunavyowachukulia, hii ni baada ya leo serikali ya kenya kutangaza mtu yoyote ambae hajapata chanjo hatoruhisiwa kuingia nchini humo.. bandiko . Check out tz replies za wabongoView attachment 2035318View attachment 2035319View attachment 2035320
matajiri gani wanakuja kwenye nchi inanuka njaa na shida 🤣🤣🤣 ikulu inakosa maji alaf unaongea nn hapaSasa maskini kama wewe ukuje kenya kufanya nini kama si omba omba, hii shida wachia matajiri bana
😂😂😂 Maskini wa tz wanakimbiliaga SA kutafuta maisha, hata maskini wa Morocco hukimbiliaga Spain kufata maisha mazuri, sasa ukiona unabezwa na maskini kwamba aje kufuata nini nchini mwako jua wewe huna maajabu/jambo la maana.. punguani wewe .. huwa unatumiaga asilimia ngapi ya Ubongo wako kuelewa mambo.? 😂😂😂 ..Sasa maskini kama wewe ukuje kenya kufanya nini kama si omba omba, hii shida wachia matajiri bana
Obsessed with kenyan politics, tunajua vile mnapenda politics za kenyasiasa ushuzi
🤣🤣🤣 tunacheka kuskia speaker wa bunge la kenya anajitekenyaObsessed with kenyan politics, tunajua vile mnapenda politics za kenya
Maskini wa tz wanakimbiliaga SA kutafuta maisha, hata maskini wa Morocco hukimbiliaga Spain kufata maisha mazuri, sasa ukiona unabezwa na maskini kwamba aje kufuata nini nchini mwako jua wewe huna maajabu/jambo la maana.. punguani wewe .. huwa unatumiaga asilimia ngapi ya Ubongo wako kuelewa mambo.?
..
Pesa za ndani vipiimejemgwa na serekali ya tanzania imagine na tozo zinaenda serekalini nyie je tozo zinenda kwa nani kama sio mchina kwa miaka 30yani hata aibu huoni
project ya mchina na tozo za mchina who is gaining and who is loosing??![]()
Naona hawa tayari wako SA kweli
Unawajua waliotoa fedha Ili kujengwa kwa hilo daraja.?Pesa za ndani vipi