Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

but its chinnese owned project je hilo unalijua?? na je unajua hamutapita bila malipo kwa hvo ni sawa siwez kataa lakini sio kenya itoe pesa ijenge wakat pesa ya 5km railway haina
unawashwa na wakenya kulipia toll unasahau huko kwenu dalala inalipa tsh5000/ksh244 ili kuvuka daraja??
jamiiforums-post-2021_12_06_12_50.jpeg
 
unawashwa na wakenya kulipia toll unasahau huko kwenu dalala inalipa tsh5000/ksh244 ili kuvuka daraja??
View attachment 2035278
Wakenya mnaona cc Watz tulipofika? Angalia one of our cable stayed bridges hiyo, nimesave hii picha ckuwa nayo, asante sana ila nawakumbusha msije kuitumia kule skyscraper city cz tupo na nikikubaini sitakuacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom