Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If you want to know how short Tanzanian trains will be, just look at the boarding shade and then compare na za Kenya. I doubt hata kama hizo trains zao zitabeba watu watu 15o per trip.






View attachment 2034030

View attachment 2034032
Una mawazo ya kizamani sana bwana mapesa, urefu wa hiki ninachokuonesha ndio urefu wa electric train yetu, hapo usisahau kuzidisha mara mbili mana itakuwa ni double decker, ushamba mzigo wallahi, jamaa wamechelewa sana
Screenshot_20211206-210630.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We si ni panya buku wa tandale tu..

Hako kajengo ndio asilimia ngapi basi, mbona kwanza upost kajengo kamoja wakati hapa tunaongelea mji wa magufuli..

Hivi kweli inaingia akilini utuonyeshe kajengo kamoja..
Umeosha matako leo.?
 

Nimefuatilia kwa karibu inaonekana jamaa wako serious!!!wameahidi kujenga industrial park Kigamboni nafikiri wakishirikiana na wenzao wataanza na viwanda 40 initial ndo hichi cha leo!!!Kwa muda mrefu walikuwa wakitafuta sehemu ya kuweka base East and Central Africa hatimae Tanzania imekuwa chaguo lao!!!pia wameahidi kujenga Collage ndani ya hiyo industrial city ili kuzalisha wataalamu kwa ajili kuendesha viwanda vyao si tu kwa Tanzania bali kwa miradi yao globally!!!,Tutegemee kuona mambo makubwa zaidi Kigamboni!!!! Project hii moja inaweza kuamsha project nyingine nyingi!!!!Pia mama ameelekeza kwa sasa Kigamboni iwe ndio sehemu inayopewa kipaumbele cha kwanza kabisa katika uwekezaji wa viwanda kwa mkoa wa Dar es Salaam!!! Hivyo miundo mbinu wezeshi haikwepeki.
 
Back
Top Bottom