Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi CBD
FB_IMG_1638798247093.jpg
 
Kuhusu suala la station kutokuwa na sehemu ya mizigo ni suala ambalo lipo wazi kabisa nimefanya research na nikagundua kwamba Emili station ni kwaajili ya abiria tu.. hivyo basi tukizungumzia facilities, Pugu Iko vizur ukilinganisha na Emali station, in the other hand tukizungumzia Uzuri Emili station wins.. There for kati ya hizi station mbili kila moja iko na ubora wa namna yake, case closed..

Tukiamia kwenye station kubwa, DSM station vs NAIROBI station .. DSM station inaipiga Nairobi station hands down.. kama unabisha twende ground
Hiyo research ya Emali station uliifnya wapi and can you share with us the research materials?

Dar station inaipiga Nairobi station kwa lipi?
 
Unatambua kuna line ya kv 400 inakuja namanga ipandishe kenya ?

Kenya itauziwa umeme na Tanzania

Sasahivi Tanzania inazalisha 1601 MW
Ikiamua ku triple ikazalisha 4803 Mw inawekezana ndani ya miezi michache

Tatizo umeme wa gesi ni gharama kuliko Chanzo cha maji Kwahio itatumia chanzo cha maji
Mwaka huu bwawa likianza kazi jumla ya uzalishaji utafikia 3700 Mw
Story za tuta....ita peleka Tandale
 
Back
Top Bottom