Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kwa kuangalia tu pics za juu, hicho kituko chenu iliyopa Dar unawezalinganisha na Emali.

Look at these two aerial photos of the two stations (both complete).
View attachment 2033854View attachment 2033855
Do you need a third eye to see the glaring difference?
Kweli aliye waloga amekufa unaringia kitu ambacho kimeitia Kenya matatizo ya kupokwa kwa port ya Mombasa.
 
Ndugu zetu wakenya mna shida gani nyinyi
Screenshot_20211206-134824_Twitter.jpg
 
Duhh kwnn hawajawapa tender hawa jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Huu mradi wa Phase 2 Kuna Contractor wawili pia kama ilivyokua Mwanzo STRABAG na Kampuni ya Kitanzania Caspian ( Wao walijenga Vituo) Strabag Kajenga Barabara.

Na Sasa hivi Phase Two Sinohydro anajenga Barabara kakini mwenzake China Civil alishamaliza siku nyingi kujenga vituo vikibwa Vya Mbagala , Gerezani, na zile feeder station zote.
 
Back
Top Bottom