Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kungekuwa na sheria balloons zote zinaoperate ndan ya hifadhi zetu ziwe na hii rangi ya taifa [emoji7]
IMG_3265.jpg
 
Bwana Nicxie kwani huwa mko na shida kwenye kufanya comparison.. pugu station imeshalizwa kujengwa na picha zipo, kwanini usipost hizo then fanya comparison Yani jaribu kuwa na fair comparison.. au unaogopa.? Au hauna picha za pugu station iliyokamilika nikupee.?
 
kwa akili zako unaona hicho kistation ni cha kulinganishwa na emali station???
 
Bwana Nicxie kwani huwa mko na shida kwenye kufanya comparison.. pugu station imeshalizwa kujengwa na picha zipo, kwanini usipost hizo then fanya comparison Yani jaribu kuwa na fair comparison.. au unaogopa.? Au hauna picha za pugu station iliyokamilika nikupee.?
Ilipanuliwa au bado ni hiyo size ya choo ya bedsitter?
You mean this one?
images(82).jpg

Do you still want to compare it with Emali SGR Station?
 
Sasa kama ndio hivyo msituletee huu upuuzi wa kusema BRT buses zenu zitakuwa bora sababu ni za Stima wakati hujaziona, tuongee kuhusu functioning BRT na failed lipstic BRT……so far hamna cha kutuonesha ambacho kinashinda vyetu. Sisi reli ipo na umeme umepita……treni hakuna matata zitakuja, serikali zetu sio za kilaghai kama zenu iliyowaahidi kuwaletea bullet train alafu alafu ikawaletea mitungi ya gongo alafu ikawapiga fix kwamba hatuna umeme wa kutosha so komaeni kwanza na hii mitungi baadae tutanunua umeme Tanzania tulete za umeme…..[emoji28][emoji28]
Wakati wao wakifikiria kuhusu electrified SGR cc tutakuwa tunafikiria kwenda Mars [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Existing things ndio hizi hapa
Pugu "electrified" sgr station in Dar es Salaam [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 2033592

Emali SGR station, Makueni County
View attachment 2033609View attachment 2033611View attachment 2033615View attachment 2033616View attachment 2033617View attachment 2033618View attachment 2033619
Na hii ndio goal yenyewe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211205-111143.jpg
Screenshot_20211201-222412.jpg
Screenshot_20211201-222403.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom