Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,711
Facilities?? 😂 😂 😂Maelezo yangu uliyasoma vizur ukayaelewa.? Nilikua nakuelezea jinsi ya kufanya fair comparison, umenielewa.. .? Na mbona ipo wazi kwamba EMALI station ni nzuri kuliko pugu... Alafu naona unasisitiza kituo Chetu kilichopo Dar 😂😂😂, skia ipo hivi vituo vyote vidogo vya SGR kutoka DSM hadi moro vinafanana hivyo, ukubwa huo huo, rangi na kila kitu.. and naweza pia kujivunia kituo cha pugu kipo na facilities nyingi zaidi ukilinganisha na Emali
Hebu tupe picha za ndani ya hicho kibanda cha choo tuone hizo facilities.
And then did you say that this is just one of the smaller stations meaning there are bigger ones? Please share with us those bigger stations tucheke kidogo