Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You can yell all you want but you can't change this fact View attachment 2033571View attachment 2033573
Nicxie hii sijakukatalia kabisa nimekubali Ila nikakuuliza hapa 👇ni wapi. I mean hii bikini 👙
3019533_images_17.jpeg
sawa Kenya mko na umeme inaizidi mahitaji yenu, ila hiyo picha hapo juu ni wapi.?
 
Nicxie hii sijakukatalia kabisa nimekubali Ila nikakuuliza hapa 👇ni wapi. I mean hii bikini 👙View attachment 2033576sawa Kenya mko na umeme inaizidi mahitaji yenu, ila hiyo picha hapo juu ni wapi.?
Take a minute of your time and look at the population demographic of Kenya. Pengine it'll help you understand that map better
 
Ata ukijichekesha upost na link bado hamjafanya chochote katukaribia mradi wetu wa BRT phase 2 kwahyo ni kitu kilekile tu
So were we building it compete with yours? Is that how your mind is conditioned?
 
Kenya's sgr can be electrified in its current state. Sisi kujenga sgr ya diesel si eti kwa sababu hatuna huo uwezo ama kuona umuhimu wake. Ni kwa sababu uzalishaji wetu wa umeme bado upo chini kwa sasa ukilinganisha na demand. Tungejenga ya umeme could have spelled doom to our industrial and domestic power needs kwa sababu ingelemaza shuguli nyingi muhimu.

Nyinyi mnajenga ya umeme kwa sababu mahitaji yenu ya umeme bad upo chini ikilinganishwa na yetu. Najua hili mtabisha sana ila huo ndo ukweli.

Kuhusu brt, ours was an afterthought so you can't expect it to be top-notch. Kwa sasa tunajenga a second line along the expressway so ngoja tuone matokeo yatakuaje.

All the same, hujawahi kuona brt systems za kupakwa rangi ama nyinyi ndio wale ambao hawajawahitoka nje ya mipaka ya Tandale?

BRT za kupakwa rangi zipo nyingi tu kwa nchi za watu wastaarabu lakini sio Kenya, kwani nini kilifanya BRT ya lipstic ya Thika Highway isifanikiwe? Si mlichora ikafail na bado mnarudia kuchora…..mnadhani hao madereva vichaa wa Nairobi wataheshimu hizo mistari au tutegemee BRT yenu kuwa Matatu kubwakubwa za stima ambazo zinakwama kwa jam?
 
Take a minute of your time and look at the population demographic of Kenya. Pengine it'll help you understand that map better
Kwahyo bwana Nicxie unachotaka kusema ni kwamba kwenye hii👇picha
Screenshot_20211205-121456_1.jpg
North, North West and EAST of kenya, hakuna watu wanaishi hayo maeneo.?
 
Until you see the trains, don't mention them. So far, our stations are better than yours, your trains are yet to come. Let's compare existing things.

Sasa kama ndio hivyo msituletee huu upuuzi wa kusema BRT buses zenu zitakuwa bora sababu ni za Stima wakati hujaziona, tuongee kuhusu functioning BRT na failed lipstic BRT……so far hamna cha kutuonesha ambacho kinashinda vyetu. Sisi reli ipo na umeme umepita……treni hakuna matata zitakuja, serikali zetu sio za kilaghai kama zenu iliyowaahidi kuwaletea bullet train alafu alafu ikawaletea mitungi ya gongo alafu ikawapiga fix kwamba hatuna umeme wa kutosha so komaeni kwanza na hii mitungi baadae tutanunua umeme Tanzania tulete za umeme…..
 
So were we building it compete with yours? Is that how your mind is conditioned?
Kwahyo Nicxie usiniambie umeshindwa kujua nilimaanisha nini... Owky me sikuzungumzia kushindanisha, point yangu ilikua ni muda, kwamba hamuoni nynyi mmetumia mda mrefu kufanya kitu ambacho hakina hata dalili za kufikia robo malengo while sisi tumetumia muda machache kuliko nyinyi na mradi uko safarini kumalizika.? Je huo mradi wenu sio maigizo.?
 
Back
Top Bottom