Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Nimefika hapo kwa diesel sgr station nikaacha kusoma🤣🤣🤣 wtfWe bwege kweli buda, kuna future gani kwenye diesel sgr station ukilinganisha na stations za treni za umeme. 😀 Eti futuristic, hizi linganisha na stations zetu za mabasi maana kwote kunaweza kuwa na harufu inayoelekeana itokanayo na diesel

