Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😀oneni huyu kiazi, afadhali sisi tunaocompare sgr ya umeme vs yenu ya gari moshi kuliko nyie kucompare kibrt cha mchongo na ya kwetu. Naona mnacompare na kidaraja chenu cha dongokundu na madaraja yetu, ila hatusemi but likija swala la sgr unalalamika maana mnaiogopa
Can your sgr even try this👇👇👇
images (4).jpeg
 
😀oneni huyu kiazi, afadhali sisi tunaocompare sgr ya umeme vs yenu ya gari moshi kuliko nyie kucompare kibrt cha mchongo na ya kwetu. Naona mnacompare na kidaraja chenu cha dongokundu na madaraja yetu, ila hatusemi but likija swala la sgr unalalamika maana mnaiogopa
Do you have futuristic station like these
images (5).jpeg
images (6).jpeg
 
Let me breakdown for you Buda. Tunachoringanisha ni ubora na viwango, wakati SGR yetu itaanza kazi itakuwa ya umeme na treni za kisasa na huku yenu itakuwa ile mitungi ya chang’aa. Same applied to BRT, wakati yetu ni complete package system with dedicated lanes, yenu itaendelea kuwa ile ile ya kupaka ‘lipstick’ with narrow stations kama spagethi, so its just a matter of time tutakuwa na SGR ya kisasa na BRT System ambayo ni most effective huku nyie mkishika mkia kwenye hilo eneo. Umeleewa kijana wangu?
Eti mitungi ya changaa 🤣🤣🤣🤣
 
Nyongó paves way for construction of Sh1.3 billion cancer centre

View attachment 2033462

View attachment 2033463

Hii ndio itashindana na Muhimbili? Will it offer some advanced services like bone marrow transplant?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom