Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And their own government even lied to them about the health and whereabouts of tueir president
Kwamba aliletwa Nairobi kisiri kwa ndege ya kichawi wala hatukuona na mwili wake ulirudishwa kichawi pia kwa kutumia ungo tusingeweza kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimecheka sana.. eti shetani nae ana moyo[emoji23]
giphy.gif
Kweli wakunya hawana ajili🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwamba aliletwa Nairobi kisiri kwa ndege ya kichawi wala hatukuona na mwili wake ulirudishwa kichawi pia kwa kutumia ungo tusingeweza kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuletwa Nairobi. Alikuwa buheri wa afya na alikuwa busy anachapa kazi
 
Hivyo ndio wanavyodanganyana wakenya [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Mwamba alipitishwa kisiri siri, watu wakaambiwa hakuna kusema [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba pale Airpot wafanyakazi wakaambiwa wasiseme na hawakusema hata wake na waume zao hawakuwaambia mpk leo, haki ya mama Wakenya hawana akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
These are some of the respected people in Tanzania admitting to receiving treatments in Nairobi Hospital.

 
Sasa utaelewaje haya yote wakati the same government that was at the center of all these ilikuaminisha wewe na watanzania milioni sitini kwamba magufuli alikuwa akichapa kazi? There are certain things that are beyond your comprehension Kijana. Sickness and subsequent death of a sitting president is not handled kijuakali as you think. It is a well-guarded secret that only people in high places can get wind of
😂😂 Uliskiliza vizur taarifa ya msiba na situation aliyokuanayo magufuli hata kifo kilipomkuta.? Wiki mbili kabla taarifa za kifo chake alionekana akimuapisha katibu mkuu kiongozi 👇. baada ya hapo ilifuata taarifa ya kifo chake 👇. Taarifa fupi kabla ya JPM kukumbwa na umauti inasema, Mwamba aliumwa akapelekwa hospitalini, akapata nafuu na kuruhusiwa kurudi nyumbani, siku kadhaa baadae alizidiwa tena na hiyo ndio ikawa safari yake ya mwisho ya maisha yake.. yaliyoelezwa yote na serikali ni ukweli mtupu, labda uniambie wew sio timamu (una ugonjwa wa akili) ndio utashindwa kuelewa... NB jitahidi uwe unapata taarifa kutoka kwenye vyanzo vya habari vinavyoaminika, sio kuokota okota tu kwa blogs uchwara au wanasiasa wa hovyo (kina tundu lissu)
 
Back
Top Bottom