Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwn mtihani wa kiswahili tz mumefaulu nchi nzima
Hakuna upumbavu kama kusoma mpaka chuo kikuu na unafeli mtihani wa lugha uliyoanzaga kujifunza ungali mtoto.. nyie ni matahira 😂😂😂, yani mnapeleka watu abroad wakasome professionals ili wakirudi walitumikie taifa halafu wanafeli mitihani ya lugha 😂😂😂.. haijawahi kutokea duniani 😂😂😂
 
Hakuna upumbavu kama kusoma mpaka chuo kikuu na unafeli mtihani wa lugha uliyoanzaga kujifunza ungali mtoto.. nyie ni matahira , yani mnapeleka watu abroad wakasome professionals ili wakirudi walitumikie taifa halafu wanafeli mitihani ya lugha .. haijawahi kutokea duniani
Swali umelikwepa, kuna tofauti english medium na kusomea kingereza we bwege

Jamaa kumbe mnaumizwa sana na mtaala wetu wa elimu jamani..
 
Swali umelikwepa, kuna tofauti english medium na kusomea kingereza we bwege

Jamaa kumbe mnaumizwa sana na mtaala wetu wa elimu jamani..
😂😂😂😂😂 We kumbe ni mpumbavu wa mwisho .. eti kuna tofauti Kati ya "English medium na kusomea lugha". Hii statement yako ulitaka umaanishe nini, yani hata kutumia kiswahili chenyewe ili kuwasilisha jambo lako huwezi. 😂😂😂 Heb piga kimya utachekwa sana.. mana we ni mbumbumbu
 
We kumbe ni mpumbavu wa mwisho .. eti kuna tofauti Kati ya "English medium na kusomea lugha". Hii statement yako ulitaka umaanishe nini, yani hata kutumia kiswahili chenyewe ili kuwasilisha jambo lako huwezi. Heb piga kimya utachekwa sana.. mana we ni mbumbumbu
Kifo kimewadia mzee, naona kufikia sasa unapata tabu sana..

English medium siku hizi ndio kusomea kingenge sio
 
Kama Kuna mradi huwezi niambia chochote ni huu ichoboy01
IMG_20211201_122616_548.jpg
IMG_20211201_122029_411.jpg
IMG_20211201_121345_384.jpg
 
Ku-to-fi-ka, chu-o ki-kuu, au- ku-to-jua Eng-li-sh, ndio- illi-tera-te?.

Nadhani nimechanganua vyakutosha, au unaonaje?
Hahaaa, joto la jiwe bana, m nlikua nmempa hyo mwenzio anayejisifia kiswahili nione na yeye atafanyaje

Nashangaa karuka na kusema eti hoo mara sijui kiswahili mara nini
Pole yake

Sama boy 255
 
The good thing ni kwamba slums zote Kenya ni ardhi ya serikali, anytime ikijiskia inavunja bila compensation. Ndo maana hao jamaa wanajenga na mabati ndo wasiende hasara otherwise wananyumba kwingine.
Hzo nyingine ambazo kwamujibu wa maelezo yenu ndyo sehem kubwa ni ardhi ya nan?
 
Back
Top Bottom