Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Huyu huaga sikuelewi kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ona hii kenge![]()
Muogope mkenya hakuna MTU muongo kama mkenya,tuwe Makini na hawa jamaa🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu huaga sikuelewi kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ona hii kenge![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Katumwa, msimjibu![]()
Ni kama wauguzi wenu waliofeli mtihani, eeeh?Nimesema kama huelewi lugha iliyotumiwa kukutahini, you can't say you're learned.
Kihistoria watanzania hawakuwa na mwamko sana wa kwenda nje. Miaka ya nyuma, serikali ilikuwa inaweka vizingiti vingi kuondoka. Hata kama umepata visa ilikuwa ni lazima upate kibali (exit visa) kutoka serikalini ili uweze kuondoka.Tunapoongea sahii si Kenya Ina wanafunzi wengi vyuo vikuu vya Marekani kuliko Tanzania?
Nilikuwa namjibu mwezio aliyeniuliza kuhusu SAT, uwe unasoma kwa umakini.Alafu don't make this about yourself and SAT.
Sawa genius, mimi i had to study for SATs, otherwise even if i got a straight A in english kusema kweli kama singe study i would have failed, si kama TOEFLNi kama wauguzi wenu waliofeli mtihani, eeeh?
Kihistoria watanzania hawakuwa na mwamko sana wa kwenda nje. Miaka ya nyuma, serikali ilikuwa inaweka vizingiti vingi kuondoka. Hata kama umepata visa ilikuwa ni lazima upate kibali (exit visa) kutoka serikalini ili uweze kuondoka.
Pia sababu nyingine ni kuwa Tanzania kisheria bado ni nchi ya kijamaa, hivyo huwa inawekewa kauzibe.
Nilikuwa namjibu mwezio aliyeniuliza kuhusu SAT, uwe unasoma kwa umakini.
Kufeli mtihani ni jambo la kawaida na huwezi wabeza wauguzi wetu wakati hakuna comparison na wenu ujue wangefanyaje maanake Wakenya wengi wamepita mitihani ya kuenda ng'ambo tu. Kenya has the third highest international students in Subsaharan Africa after Nigeria and Ghana. Lingine, we don't have the factual specifics of that exam maanake the Nursing council wamepinga maneno ya waziri. Hapa Kenya sio kama bongo eti mwanasiasa akisema jambo linakubalika tu kiholela.Ni kama wauguzi wenu waliofeli mtihani, eeeh?
It was because of your own laziness.Kihistoria watanzania hawakuwa na mwamko sana wa kwenda nje. Miaka ya nyuma, serikali ilikuwa inaweka vizingiti vingi kuondoka. Hata kama umepata visa ilikuwa ni lazima upate kibali (exit visa) kutoka serikalini ili uweze kuondoka.
Excuses. The fact remains, more Kenyans have passed the SAT exams than Tanzanians. Vijisababu havina uzito hapa.Pia sababu nyingine ni kuwa Tanzania kisheria bado ni nchi ya kijamaa, hivyo huwa inawekewa kauzibe.
SawaNilikuwa namjibu mwezio aliyeniuliza kuhusu SAT, uwe unasoma kwa umakini.
If you look closely, apart from the main road, hamna paved road kwa huu mji.picha za upande💩💩 View attachment 2029013View attachment 2029012
Weka link wacha kelele, link inaonyesha hospital za nje ya Kenya, ninyi ni madalali wa Hospitali za abroad, soon mtakua nawakala wa Hospitali za Tanzania![]()
TOEFL ni mtihani wa kujua kama unaelewa kiingereza kama lugha ya pili ila SAT ni kwaajili yao wenyewe. Tanzania hatufagilii sana hivyo vimitihani vya SAT, kwasababu 'A' level yetu ni sawa na two year college ya Marekani, hivyo huhitaji kufanya SAT kukubaliwa kuingia college.Sawa genius, mimi i had to study for SATs, otherwise even if i got a straight A in english kusema kweli kama singe study i would have failed, si kama TOEFL
sasa watatokea wapi? huwa wanazitumia kujikomboa kutokana na kichapo cha mbwa tunayo wapea, kisa wamekosa jibu kwao., 😂 😂 😂 😂Mukuru kwa njenga demolished, more to follow.View attachment 2029017View attachment 2029018View attachment 2029019
Alafu wanashangaa wakiskia tumewazidi .
The good thing ni kwamba slums zote Kenya ni ardhi ya serikali, anytime ikijiskia inavunja bila compensation. Ndo maana hao jamaa wanajenga na mabati ndo wasiende hasara otherwise wananyumba kwingine.sasa watatokea wapi? huwa wanazitumia kujikomboa kutokana na kichapo cha mbwa tunayo wapea, kisa wamekosa jibu kwao., 😂 😂 😂 😂
Ukubwa wa Dar ni udongo na idadi ya watu, sio maendeleo., ona sasa!, only around CBD ndio kuko afadhali, tatizo la kukua na city moja., raiya wote wanazamia kule kutafuta maisha, ufukara multiplied, result: makazi uchwara.,picha za upande💩💩 View attachment 2029013View attachment 2029012
Mtanzania hatokubali huu ukweli.,The good thing ni kwamba slums zote Kenya ni ardhi ya serikali, anytime ikijiskia inavunja bila compensation. Ndo maana hao jamaa wanajenga na mabati ndo wasiende hasara otherwise wananyumba kwingine.
Nyinyi ni vilaza kwa kufeli lugha mnayoitumia toka first grade.Kufeli mtihani ni jambo la kawaida na huwezi wabeza wauguzi wetu wakati hakuna comparison na wenu ujue wangefanyaje maanake Wakenya wengi wamepita mitihani ya kuenda ng'ambo tu.
Kuwa na wanafunzi wengi nje ya nchi zao ni dalili za kutokuwa na elimu nzuri katika nchi walizotoka.Kenya has the third highest international students in Subsaharan Africa after Nigeria and Ghana.
Unataka ushahidi gani tena wewe, wakati wenye lugha yao wamesema mmefeli?Lingine, we don't have the factual specifics of that exam maanake the Nursing council wamepinga maneno ya waziri. Hapa Kenya sio kama bongo eti mwanasiasa akisema jambo linakubalika tu kiholela.
Lazy kuamua kukaa nchini mwako?It was because of your own laziness.
Sababu za kihistoria zinafanya watanzania wengi wasiwe na mwamko wa kwenda nje.Halafu siongelei wanafunzi wa miaka ya nyuma, naongelea wa sahii. Kenya inao wengi zaidi ya Tanzania.
Watanzani hawahitaji kufanya SAT kukubaliwa vyuoni Marekani.Excuses. The fact remains, more Kenyans have passed the SAT exams than Tanzanians. Vijisababu havina uzito hapa.
Huo ukweli mzalendo halisi Walker255 alishafichua, dar is a mega slumpolis na in future itakua kama Lagos ama KinshasaUkubwa wa Dar ni udongo na idadi ya watu, sio maendeleo., ona sasa!, only around CBD ndio kuko afadhali, tatizo la kukua na city moja., raiya wote wanazamia kule kutafuta maisha, ufukara multiplied, result: makazi uchwara.,
![]()