Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LPG vessel [emoji568].. Taifa Gas [emoji1241]
IMG_3216.jpg
 
Kiingereza siyo lugha inayotumika katika kufundishia shule za awali Tanzania, ila Kenya inatumia lugha hiyo. Hivyo bado sielewi kwanini wasomi wenu wamefeli katika lugha waliyojifunza tangu utotoni.
English is the language of instruction in Tanzanian schools. Ama hapo UDSM mnafundishwa Kwa Kiswahili?
 
Kiingereza siyo lugha inayotumika katika kufundishia shule za awali Tanzania, ila Kenya inatumia lugha hiyo. Hivyo bado sielewi kwanini wasomi wenu wamefeli katika lugha waliyojifunza tangu utotoni.
Umeshawaii fanya SATs bila kustudy?
 
ndio maana masai mara itazidi nakuzidi kupapasa hawa watalii. serengeti, arusha na manyara, hamna chochote
images (45).jpeg
images (46).jpeg
images (47).jpeg
 
Ndugu zangu watanzania mmeiona Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hujui Nairobi ulizia kwanza....hii picha inaonyesha CBD,Westlands lakini upande wa juu kwenye le'mac tower haiko....then upperhill inaonyesha uap tower,NSSF tower na Rahimtulla pekee.

Infact Kilimani,Ngara na Eastleigh haziko kwenye hiyo picha...hapo mwanzo wa picha sasa hiyo ndio Mombasa road na iko na majengo mengi kuliko makumbusho slum
 
Which part of Mombasa road area will compete with makumbusho?!!...i have three places of Mombasa road worth comparing with tiny makumbusho slum...

1.Mombasa road area (A) vs makumbusho
Screenshot_20211201-005420.jpg
JamiiForums-158391614.jpg
 
With ten buildings makumbusho is the second CBD in dar slum... while Mombasa road is no where near top seven CBD's of Nairobi [emoji81][emoji81][emoji23][emoji706]
 
Kuna tofauti kubwa unapojifunza lugha ukubwani na utotoni.

Nilifanya SAT zamani bila kusoma, nilikuwa busy na Physics, Chemistry na Math.

Nimesema kama huelewi lugha iliyotumiwa kukutahini, you can't say you're learned.

Kwani Wakenya wangapi wamefanya hiyo SAT na wakapita? Tunapoongea sahii si Kenya Ina wanafunzi wengi vyuo vikuu vya Marekani kuliko Tanzania? Alafu don't make this about yourself and SAT.
 
@Tony254
NairobiWalker
@Nixene
Tukisema Kenya IQ yenu chini mnakataa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Bongo on national TV munaweza kuwa na discussions kama hizi zinazouliza maswali tata kwa serikali ama TV zenu ni za akina Dayamondi na Wema Sepetu tu? Jibu hilo utajua nani ako na low IQ kati yetu.
 
Back
Top Bottom