Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njoo kenya upate tiba bora km magufuli

Cardiology

Dentistry

Ear Nose & Throat

Endocrinology

Gastroenterology

General Medicine

General Surgery

Hematology

Maxillofacial Surgery

Nephrology

Neurology

Neurosurgery

Obstetrics & Gynecology

Oncology

Ophthalmology

Orthopedics

Pediatric Cardiology

Plastic Surgery

Pulmonology

Radiology

Spinal Surgery

Stem Cell Therapy

Urology

Vascular surgery

Tuma details zako nikufanyie booking na madaktari kabisa
 
Bwahahahaa!!!acha bone marrow tu, kuna na vingine vingi hko kwenu hata hamna ndoto navyo

..

The Aga Khan University Hospital is the first in the region to offer the Neurointerventional surgery, a less invasive procedure

...
Hahahaha, Tanzania tunafanya operation ya ubongo bila kufungua kichwa.

Kwanza tuambie Kama mnaweza kufanya bone marrow transplant
 
Nchi ya kwanza EA kuwa na electrical SGR.

Nchi ya kwanza EA kuwa na 3 tier flyover.

Nchi ya kwanza EA kuwa na BRT system.

Nchi ya kwanza EA kuwa na Cable bridge.

Nchi ya kwanza EA kutoa bone marrow transplant service.

Nchi ya kwanza EA kununua ndege kwa cash basis.

Tuishie hapa wakitaka naongeza.
Hakuna kitu km electrical SGR mzee
Qlafu mbona tulitangulia kw vingi tu, kumbe nyie vyenu vinahesabika
 
Njoo kenya upate tiba bora km magufuli

Cardiology

Dentistry

Ear Nose & Throat

Endocrinology

Gastroenterology

General Medicine

General Surgery

Hematology

Maxillofacial Surgery

Nephrology

Neurology

Neurosurgery

Obstetrics & Gynecology

Oncology

Ophthalmology

Orthopedics

Pediatric Cardiology

Plastic Surgery

Pulmonology

Radiology

Spinal Surgery

Stem Cell Therapy

Urology

Vascular surgery

Tuma details zako nikufanyie booking na madaktari kabisa
Hivi vyote ulivyotaja havina maana yoyote cz hata Djibout na Somalia wanafanya, ila hawawezi kufanya bone marrow transplant cz zinafanya nchi chache Afrika mana inapasa kuwa na wataalamu wabobezi na waliopata msingi mzuri wa elimu na ndiyo maana zipo nchi chache mno Africa nzima.
 
Narudia tena, hakuna kitu km electrical sgr mzee..mizimu hko waliko hata wanakushangaa..

SGR una i-electrify vipi, emu tujuze engineer
Hapa wanafanyaje hebu niambie kwa kingereza, wanafanyaje hapa
Screenshot_20211124-231303.jpg
 
Hivi vyote ulivyotaja havina maana yoyote cz hata Djibout na Somalia wanafanya, ila hawawezi kufanya bone marrow transplant cz zinafanya nchi chache Afrika mana inapasa kuwa na wataalamu wabobezi na waliopata msingi mzuri wa elimu na ndiyo maana zipo nchi chache mno Africa nzima.
Lete procedures za muhumbili tuzione
 
Huyu jamaa kwenye hii clip sio yule wa Ghana muigizaji maarufu?

Tamthilia zetu za ndani zinavutia international attention duh, kweli kiswahili kina nguvu sipati picture kama Tanzania ungekua English speaking country, Tanzania ni nchi maarufu sana kutokana na music and stuff japo kwa kiswahili, ingekua English, Tanzania tungeteka dunia lakini inawezekana utofauti wetu wa kiswahili ndio umetupaisha

Source ya kwamba mnatambulika insta sioee
 
Back
Top Bottom