Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

khaa..we vipi.ebu angalia apa umesema nni
"my point is farmers are not employed wao wamejiajiri wenyewe 😀😀😀😀😀'
saa ii umegeuka unasema farmers are employed na wanajulikana na serikali so which is which?
asa wewe ulitaka asitambulike kiserikali kila mwananchi ni haki kutambulika na serikali hata jobless kama wewe vile serikali yenu ya kukunya yakutambua
 
My God. Hii ndiyo Nairobi iliyo kwenye nchi ya DC!?
wenyewe wanakuambia half londoni hafu kuna mpuunzi mmoja wa kikenya akathibitisha kabisa kama wao si DC...
33b4217883a3f31370ed46fefc6e50f0.jpg
 
hongera kwa kujifariji wanjala.hongera sana.

hivi ile ajira yako ya uwalimu katika ile shule,bado unaendelea nayo?.

au unafikiri sijui kuwa wewe ni mwalimu?.SMH.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji61] [emoji61] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom