ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kama unabisha we google uone watanzania wangapi wakulima ndio utajua nachokwambia nini😀😀😀😀😀sasa wewe ndio unajichanganya..sikuelewi unataka kumaanisha nni..kwengine mnatuambia more than 45% wako employed kwa formal sector,hapa umeibuka na 75% ni wakulima..which is which
sasa swali langu je wakulima ni employed??????