mwenzako
Pazii amesema vizuri nkamuelewa sana.wewe unashindwa kujieleza ueleweke.na amesema vizuri farmers informal.sawa mzee
We jamaa mgumu sana kuelewa, mwalimu wako alipata shida mno;
tunaposema employment rate TZ ni kubwa tunamaanisha any kind of legal job inayompa mtu kipato sio white collar jobs/kukaa ofisini pekee. Hapo wamejumlishwa wakulima, wavuvi, wafugaji, wawindaji, wafanya biashara kubwa na ndogo, wafanyakaz , maofisini na nyingine zote halali.
sasa mnaposema eti Kenya employment rate ni ndogo kwakua wengi wamejiajiri sio kweli na upungufu wa maarifa vichwani mwenu, coz hyo rate inajumlisha walioajiriwa na kujiajiri pia, yaani any sector halali inayotambulika kisheria, sasa labda mtuambie wengi wenu mmejiajiri kwenye kazi zisizo halali that's why hamtambuliki yani kama ukabaj, pombe haramu, utapeli, kupiga ramli n.k.
So it means majority of Kenyans don't have recognized job, yani kazi mfanyazo hazitambuliki na nchi yenu wala mashirika ya kimataifa.
Halafu tukiwaambia uchumi wa Kenya ni mkubwa lakini hauwasiadii nyie wakenya mliopo humu mnakataa; hebu jiulize kitu; population yenu ni ndogo kuliko Tanzania na mnajidai kila siku kua huko kwenu kuna viwanda vingi na mashirika mengi yameweka HQ Nairobi sasa kwanini mkose ajira kuliko Tanzania kwenye watu wengi na viwanda vichache plus mashirika machache?
Hapo ndo mjue huo uchumi wa kwenye makaratasi hauwasaidii chochote, mnamaisha magumu, coz nyie mlipaswa workforce yenu iwe absorb na hivyo viwanda na mashirika mlonayo hadi watu wa nchi nyingine tuje huko kujaza nafasi zilizokosa wakenya, but it is vise versa, am very sure kwenye hivyo viwanda na mashirika wamejaa wazungu wenyewe nyie wote mpo kibera, kazi kutuma mipicha tu na ststistics ambazo hazina impact in your real life as pure Kenyans.