Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kajiripua wallah...
Wapi iphone 7 aje aokote majivu ya wanjala
😀😀😀😀😀😀😀😀
Maana kuna bomu langu moja alilikwepa wanjala akaenda kukombatia bwege mmoja wakikenya akaangaika nalo mwisho akabutuka nalo
 
Hapa dar ikwapi nioneshe basi😀😀😀
View attachment 552909
Sitarajii uione maana wewe na watanzania wenzako mpo hivi
701a948ab92878cbfe4a7291b626b33b--ostriches-graphic-designers.jpg
 

kwa Mara ya kwanza,Leo ndio naona mkenya anapost picha inayoonyesha slums za nairobi.

tumezoa kuona kila siku mki-repost picha za CBD.
hongera sana mkenya.umethubutu.

Hatuweki vijua kwenye mchanga mithili ya mbuni kama ilivyo nyinyi! We face our truth and better things as we move on
ostrich.jpg
 
kama kutuonyesha display za laptop ndio mafanikio...basi endelea hivo kijana.chunga sana wakora wasije wakachukua hizo laptop.maana nairobi usalama ni mdogo sana.
Kadoda leo unakuwa mtu hivihivi yaani sijui! Yaani mtu kukuibia anaenda na akili zako? Hizo akili ulizotumia kufika ulipofika ameenda nazo? Acha kuwa hivi. Unanishangaza!!
 
huyo spensa ni dereva wa kuleta wazungu kutoka Arusha to Nairobi. ...hahaha. Hata kununua tomato sauce ya 5 bob analalamika. ..hahaha
Nakujaga uko kikazi chini ya USAID kwa hiyo Nairobi naifahamu kuliko ww ila kibera ndio sijawahi fika

spensa_e
 
yu wapi yule Annael kaniuliza swali kisha kasepa!! Wabongo ni bongobongo! Bongobongo hapa Kenya ni mjusi kafiri!!!!
 
Lol....You claim to know Nairobi more than wenyeji...Lol. wasee wa LDC mna kichaa sana



leo wacheni niwaulize mbona mko LDC. .....
 
Back
Top Bottom