ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ushaanza kusepetuka?nawashauri wakenya mrudi.....na kuendelea kupost vile vipisi vya barabara zenu mnazoziita fly over......wakati ni vipapatio road
hongera sanapersonally am an engineer by profession but sijaajiriwa na private sector wala serikali...napiga deals zangu tu na nala hela ndefu kulio walio ajiriwa
yaani haujaulizwa kuhusu maisha yako chaajabu ushaanza kuropoka....mara ooh unakula pesa ndefu.......basi sawa ngoja tukusifie basi.....maana wakenya kwa sifa za kijinga hamjambohahahaha... Hahahaha....icho usiumize mbavu zangu pls.

imetulia sana hawa......huwa tunawaambia kila siku........dar siyo level yenu ......nairobi ni.....pakijinga sana kama wananchi wake walivyoKukwe zinaendelea kujengwa zionekane za kisasa kabisa
![]()
![]()
![]()
wengi wao hapo nairobi kwenye hiyo city park hawana mishe ni wazururaji....Employed wapi wewe?? Mnajazana kwa city park hadi wanaandika maneno kwenye viti vya city park ilikuwafanya msikae hapo hovyo. Soma hiyo photo.View attachment 552573View attachment 552575 View attachment 552577
basi sawa.Kadoda leo unakuwa mtu hivihivi yaani sijui! Yaani mtu kukuibia anaenda na akili zako? Hizo akili ulizotumia kufika ulipofika ameenda nazo? Acha kuwa hivi. Unanishangaza!!
tunaposema kwamba nairobi ni gangland wakenya hulalamika kwa kulia kama watoto.
ona sasa,wakora wamechukua roho ya mchezaji kinda wa rugby. SMH.
yaani ile high rate of unemployment katika kenya, imesababisha roho za vijana kuwa na ukatili usio na mfano.
ukute huyu mcheza rugby aliuliwa kwa sababu ya simu ya tecno tu.
ndio maana ninapokuwa nairobi,nakuwa radar 24/7.siamini mtu.
RIP youngest rugby player.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
okay am jobless if that makes you happy...lets move on
safi huo ndiyo ukweli tunaoutaka
duuuh hizo gari kama za vietnam ........in 1980 kwenye movie za ramboGari za kubeba uchafu Nairobi na zenyewe ni Uchafu...View attachment 552596View attachment 552597View attachment 552598View attachment 552599View attachment 552600View attachment 552601
asa nyie mna road gani ya maana zsidi ya mbwembwe za zigzaga zisizo na tija ya kupunguza foleni.....yaaani hamna kitu kiukweli.....upo kwenye old city for old nation in old peopleUshaanza kusepetuka?

umeishiwa hauna kitu.......ata iyo ndio nimeona.but i think it's some few selected tz's ndio wako na hio idea lazima white collar job ndio utengeze pesa.wengine nimewasoma wamechanuka kinoma ila kwenye hii thread ndio kuna vilaza kadhaa

mwizi kabisa ni kibakaSiyo kwamba tumekubaliana umekubali wewe ni jobless. Na kama ni jobless unaishi kwa utapeli
![]()
![]()
![]()
![]()

tatizo hauna data unaropoka ropoka kama mtoto....yayaacha kudandia treni kwa mbele kijana...haikuelekezwa kwako hiyo taarifa.punguza mihemko ujadili kwa ustaarabu.nmekuuliza swali lako hujalijibu unarukia la mwenzako