chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
π π π Wameogopa hata kuniquote kabisa πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me nakwambia kukosa JF wangeendelea kuwa wajinga, kwa mfano ss hivi huwezi ona wakitoa majina ya ajabu ajabu kwa infrastructures zao cjui the super bridge, most beautiful road cjui nn nn, hawatafanya hivyo tena mana kupitia JF wanaona jinsi infrastructures quality and modern zinajengwa so waki compare na zao wanaona aibu hata kuongea.[emoji28][emoji28][emoji28] Wameogopa hata kuniquote kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya waishukuru sana jf, imewaondoa tongotongo nyingi sana kuhusu Tanzania, walikua na Tanzania ya ajabu sana kwenye mindsets zao walizoaminishwa na wazee wao for decades
Hawaamini wanavyoshuhudia kumbe Tanzania tumewapita almost kwenye kila nyanja na hawawezi kutufikia Leo wala kesho lakini tupo cool like we got nothing [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiweke maneno kinywani mwangu. Nimelinganisha planning ya Mwanza na Mombasa lini?Achana na videos zinazoonyesha nyuma ya CBD tena kwa mbali kabisa, hizo picha umeweka humu zimepigwa kutokea ofisi za mabasi Nata.. chukua hii inayoonyesha sura ya NWANZA CBD, pita humu mzee Walker .. π. Inaonekana wewe kwa Mwanza ni mpita njia tu huijui hata.. Owky endelea kuiona Mwanza π . Pitia na humu π . Unajifurahiisha unavyozungumzia masuala ya siting plan halafu unaipigia mfano kenya unasahau kwamba hii πni mobasaView attachment 2026690kenyan's second largest city . Hii tofauti na Mwanza kuwa ni mji uliopo kwenye mawe, kuna sitting plan hapa mombasa.? Naona unapiga piga kelele kuhusu makazi ya Mwanza.. kwakua uliitolea Kenya mfano ngoja na mimi nikutolee mfano haya ni makazi duni ya watu wa Mombasa π . Halafu njoo ujifunze kuhusu nyumba zilizopo juu ya milima za hali duni na za kitajiri π . Halafu nataka utoe maoni yako kati ya mombasa na Mwanza wapi wako na nafuu, na kama jibu ni Mwanza then usitupigie kelele na kututolea mifano ya kenya .. njooni wewe Nicxie pamoja na Tony254 mjifunze hapa ..
Naona hata hekaya za GDP saivi ni kama wanaziplay low tofauti na awali πππMe nakwambia kukosa JF wangeendelea kuwa wajinga, kwa mfano ss hivi huwezi ona wakitoa majina ya ajabu ajabu kwa infrastructures zao cjui the super bridge, most beautiful road cjui nn nn, hawatafanya hivyo tena mana kupitia JF wanaona jinsi infrastructures quality and modern zinajengwa so waki compare na zao wanaona aibu hata kuongea.
Unafahamu Maana ya Downtown na CBD au Unaongea tu? Downtown na CBD are used interchangeably! Ni maneno tofauti yenye Maana Sawa. Neno Downtown sana sana hutumika North America lakini. Fanya research kabla ya kujenga argument yako. Otherwise utaaibika!hio down town mwanza na sio CBd usivhanganye mboga na ugali mwanza ww huijui na hili nakwambia in out πππ
CBD hii hapa πππππ
Haaaahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ombaomba wate africa wanaitambua kenya kuwa ni Hija kwao kwanza mtume wa maomba omba wote ni uhuru kenyatta ndiyo mtume wao hivyo ombaomba hakiwa kenya ujue yupo hija anahiji
Duuhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]types of kunyaland roads
You're very smart.Usiweke maneno kinywani mwangu. Nimelinganisha planning ya Mwanza na Mombasa lini?
Mombasa is an old city. Hiyo planning ya Mombasa ni ya kale. Tazama planning ya Stone Town, Zanzibar au posta ya Zamani na utaona vibes zinafanana na old city ya Mombasa. Japokuwa sizungumzii sehemu zote za Mombasa, Maeneo ya kale yanapaswa kuheshimiwa kwasababu yanabeba umuhimu wa kihistoria. Lakini Mwanza haina maeneo kama hayo. Sana sana ni majengo machache yaliyojengwa miaka ya early to mid 1900s na wafanyabiashara wa Kihindi. Unfortunately, 70% of Mwanza is unplanned and we have no valid excuse!
And finally, Kama unataka my HONEST and BRUTAL opinion regarding Mwanza Vs Mombasa, I think Mombasa wins. Mombasa is more vibrant, cosmopolitan, richer, and there are many more fun things to do in Mombasa than in Mwanza.
Mwanza would need step up its game if it were to compete with Mombasa. A good place to start is attracting tourists by building man made tourist attractions! And this entails building an attractive, well planned city!
Tunashindania kukusanya pesa au maisha na matumizi mazuri ya resources and "good governance?"Kwa hivyo kama kuna ukame inamaanisha kwamba hatukusanyi pesa nyingi kuwashinda?
Hahahaha, typical Kunyans' mentality'.Yule ni mwenzenu hadi kuna siku kakubali yeye mtanzania
π€£π€£Unafahamu Maana ya Downtown na CBD au Unaongea tu? Downtown na CBD are used interchangeably! Ni maneno tofauti yenye Maana Sawa. Neno Downtown sana sana hutumika North America lakini. Fanya research kabla ya kujenga argument yako. Otherwise utaaibika!
Hakuna mtu yeyote hapa ambaye aliona hiyo post ni wewe tu pekee[emoji23][emoji23][emoji23]Muite. How am I supposed to quote a post made more than a year ago?
mm sijui nifundishe wewe ππππ alaf ww ndio unajitapa unaijua mwanza bro nakueleza kwa lugha fasaha ya kiswahili ukitaka kuina CBD ya mwanza hii video iwe rafiki yakoUnafahamu Maana ya Downtown na CBD au Unaongea tu? Downtown na CBD are used interchangeably! Ni maneno tofauti yenye Maana Sawa. Neno Downtown sana sana hutumika North America lakini. Fanya research kabla ya kujenga argument yako. Otherwise utaaibika!
Mbona kilio mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]old town kuna nyumba za udongo na gorofa za udongo mpaka kiyama na ndio ushuzi uliojaa mombasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mji hauna bus stage, mji hauna maji, mji hauna soko within town, mji mchafu balaa, mji haina public transportation inayoeleweka
Hehehe!!mombasa imewaacha hoi mpka basi[emoji1787][emoji1787]Ukiwaambia wana ghorofa za udongo wanaruka kama wamasai [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sisi hatutaki porojo tunataka utuoneshe 70% ya makazi mwanza ni unplanned settlement na ukithibitisha mm nafunga acc jamii forum mark my wordsππππUsiweke maneno kinywani mwangu. Nimelinganisha planning ya Mwanza na Mombasa lini?
Mombasa is an old city. Hiyo planning ya Mombasa ni ya kale. Tazama planning ya Stone Town, Zanzibar au posta ya Zamani na utaona vibes zinafanana na old city ya Mombasa. Japokuwa sizungumzii sehemu zote za Mombasa, Maeneo ya kale yanapaswa kuheshimiwa kwasababu yanabeba umuhimu wa kihistoria. Lakini Mwanza haina maeneo kama hayo. Sana sana ni majengo machache yaliyojengwa miaka ya early to mid 1900s na wafanyabiashara wa Kihindi. Unfortunately, 70% of Mwanza is unplanned and we have no valid excuse!
And finally, Kama unataka my HONEST and BRUTAL opinion regarding Mwanza Vs Mombasa, I think Mombasa wins. Mombasa is more vibrant, cosmopolitan, richer, and there are many more fun things to do in Mombasa than in Mwanza.
Mwanza would need step up its game if it were to compete with Mombasa. A good place to start is attracting tourists by building man made tourist attractions! And this entails building an attractive, well planned city!
Kipigo kitakatifuHiyo picha imepigwa Kutoka Ngara Kijana. Project yenyewe ipo Ngara. Hiyo Ngara ni sehemu chache sana hapo Dar zinawezalinganishwa nayo.
Ngara
View attachment 2026560View attachment 2026589View attachment 2026590View attachment 2026591View attachment 2026592View attachment 2026593View attachment 2026595