Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

shida yako ww kubwa unalazmisha tufanane haiwezekani tukafanqna budaa slum huku hakuna na sio kwamba mzungu hakuona kwenye sattelite aliona vzr sana na ndio maana akaona za nairobi 🤣🤣🤣🤣



unplanned settment na slums ni vitu viwili tofaut kabisa slum ni kitu worse than unplanned settment 😂😂😂😂
 
mchina kuchukua port of mombasa ni kurudisha pesa yake na riba juu hio ndio aim kubwa 🤣🤣🤣 sasa fikiria nchi kama kenya yenye debt to GDP ratio of about 86% itakua kwenye hali gani???
 
Utaumiza kichwa mkuu, wakenya ndo walivyo longo longo,tangu juzi picha za 2001 mpaka 2007 kuna mmoja alipost picha ya 2005 juzi yani full kicheko🤣🤣🤣
Aafu kasema kuna MTU Yupo Dar angemuomba amtumie picha current ingekua poa🤣🤣🤣🤣🤣
 
mchina kuchukua port of mombasa ni kurudisha pesa yake na riba juu hio ndio aim kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa fikiria nchi kama kenya yenye debt to GDP ratio of about 86% itakua kwenye hali gani???
Effect yake itashuka hadi huku Bongo mkuu. Ikutokea mchina ka take over lazima mambo yaharibike hadi kwetu upande wa bandari maana mchina ataitumia Mombasa to the maximum. Ikishakuwa chini yake lazima aiboreshe na atavutia vessels nyingi na liners kwake.
 
Waliyo na roho mbaya wanajulikana dunia nzima. Dunia haijasahau jinsi mlivyochoma vifaranga wasio na hatia
Dunia nzima inajua mkenya ana kichwa kigumu,anapenda sifa za kijinga,ana tamaa na roho ngumu🙂
 

Aliyepiga hiyo picha kweli Noma, Long Exposure kupata light trails and at the same time kafreeze mwezi, imagine shutter speed at 1/125sec and 1/250sec and the aperture between f/5.6 and f/11. The moon, sawa ila hizo light trails mhhh, labda double exposure. IMO.
 
2016 mpaka saiv miaka mingap? Mbona sisi tunawapa vitu current?
So 5 years is a lot of time? Fanya hivi, tupatie the current picture of the same place (same angle and same everything) tuone kilichobadilika hapo. Picha ya 2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…