Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Caretaker committee inawapa startimes National Super league
Hapa naona Supersport ikipewa rights za kuonyesha KPL hivi karibuni

 
Maisha yangekuwa mazuri Tanzania as you want to paint it hamgengukuwa na hao ombaomba in the first place. Na hata hata muwe nao mbona hujiulizi kwa nini wameacha 'asali na maziwa' Tanzania na kuja kutembeza bakuli Kenya?
Ushaambiwa the reason is because Kenya attracts ombaomba Mana wanasikia jinsi nchi yenu inavyoomba misaada kila kukicha so wameona wakimbilie kwenye nchi yao ya origin.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kule Kenya kuna sehemu unaambiwa unatembea siku 5 hiyo hujafika na ukae ukijua Kenya ni nusu ya Tz ukubwa wake so hizo propaganda za kutuzidi km of paved roads walishakubali kwamba ni uongo kama ule wa binadamu wa kwanza alikuwa Nyani.
 
Wewe sema huna tarifa ....sio unabwabwaja apa...kwani dege city hujangalia vipi mji wa serikali?
Hata unachomaanisha hapa hakijulikani inaelekea leo umeamkia kibera kwa hawara yako so hujalala vzr [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maisha yangekuwa mazuri Tanzania as you want to paint it hamgengukuwa na hao ombaomba in the first place. Na hata hata muwe nao mbona hujiulizi kwa nini wameacha 'asali na maziwa' Tanzania na kuja kutembeza bakuli Kenya?
Birds of the same feathers flock together KE ni ombaomba so ina attract other ombaomba ndio maana ya huo msemo hapo juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ombaomba wa kenya ni wakenya wenyewe kama wanasema ni watz basi kwanini wasiwe wanaombea huku tz hadi wakaenda kenya it means the operating conditions are right for them to beg in Kenya unlike Tz. Ssa kama serikali yenyewe ime create platform ya kuombaomba how much so kwa individuals.
 
Mtu maskini atoke Tz vijijini hukoo apande basi kilomita kibao avuke border aende Kenya kuomba omba inaingia akilini hiyo?

Hao wakunya wa humu tu wanatamani kuja Tanzania lkn pesa ya kutoka huko kijijini kwao kuja huku hawana ndo wapate hao maskini ombaomba wanaosema wanatokea Tanzania? Hivi nikisema Wakenya hawana akili mtasema nawaonea?

Nchi yao inazalisha ombaomba kutokana na ugumu wa maisha ya Kenya na ukweli wanaujua lkn wakiwa mitandaoni wanajiliwaza kwa kuwapa Wakenya wenzao uraia wa Tanzania wakidhani hiyo itamaliza tatizo la omba omba Kenya.

Wakenya hawana akili
 
Ushaambiwa the reason is because Kenya attracts ombaomba Mana wanasikia jinsi nchi yenu inavyoomba misaada kila kukicha so wameona wakimbilie kwenye nchi yao ya origin.
Wanakimbilia Kenya kutoka nchi gani?
 
Mkuu kwa ss naona kwa ss inabidi tukutaftie kiti huku juu Mana co kwa vitasa hivi unavyowapa wakunya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…